Nataka kuzaa watoto si chini ya 10

Utaweza kuwa unaongea nao wote? Watoto watakua utasema tu heh mwanangu kakua wakati hujachangia chochote kwenye ukuaji zaidi ya chakula na mavazi. Hata shule hutoweza kuwapeleka shule za kueleweka.
Mkuu ina maana idadi kubwa Ya watoto ni sawa sawa na kushindwa kuwatunza?
 

Unamiliki nini mpaka sasahivi wewe na mkeo..
 
Mmmmh ongeza na watano wawe kumi na tano aisee sisi tuko 24 nataka nimshinde mzee haiwezakani
Nataka nifikishe atleast 30 ila mkuuu ww unataka kumzeesha mkeo.

Owa tu mke mwengine km dini inakuruhusu km hairuhusu usifanye acha pigana na nafsi sio kila kinachotaka nafsi ukifate ndomana ukapewa akili ongea na mkeo
 

Hi swala hata mimi linasumbua kichwa changu hadi sasa nina 3 hapo bado 7...Lengo langu niwe na 10. Sitaki kabsa kusikia biashara ya uzazi wa mpango eti watoto 2 we we we wawili likitokea la kutokea nitawapata wapi wengine.Bora niwe nao 10 nibaki na kazi ya kuwatunza tu huku kuiga wazungu kila kitu sio kwenye swala la uzazi sitaki mchezo.....kila la kheri kiongozi hii dunia lazima tuijaze
 
Mkuu ina maana idadi kubwa Ya watoto ni sawa sawa na kushindwa kuwatunza?

Sasa je.... Dunia ya leo ya kipebari... Unapata wapi muda wa kutafuta hela na kuspend na watoto wengi one on one?
Utaishia kuwafanya kama darasa, lakini hutowajua. Hata shule expensive duniani, unakuta darasa watoto nane maximum. Quality!
 
Sasa je.... Dunia ya leo ya kipebari... Unapata wapi muda wa kutafuta hela na kuspend na watoto wengi one on one?Utaishia kuwafanya kama darasa, lakini hutowajua. Hata shule expensive duniani, unakuta darasa watoto nane maximum. Quality!
Sio kweli mkuu, Mjomba wangu ana watoto zaidi ya 30 na kila mtoto katunzwa vizuri na kasoma mpaka alipoweza kujitegemeA
 
Mkuu sizai na mke mmoja,dini yangu hairuhusu kuongeza mke lakini Hili start la kuufuata maagizo Ya dini neno kwa neno Hapana naona nafsi inasema niijaze dunia
 
Unatafuta papuchi za bure kiaina. Hata tangazo limesomwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…