kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,863
- 3,099
halafu mwanaume ili awe na mbegu zinazozalisha mapacha ale nini kwa wingi?dr mzizimkavuKama unataka kuzaa watoto Mapacha kula kila siku kwa wingi chakula cha KIAZI KIKUU utazaa watoto mapacha.
View attachment 478941
TUMIA FOLOC ACID NI BORA ZAIDI KWANIAsante ntaitafuta
Ili kuongeza uwezekano wa kupata mapacha fanya yafuatayo?halafu mwanaume ili awe na mbegu zinazozalisha mapacha ale nini kwa wingi?dr mzizimkavu
Nadhani wameona akina Maria Carey, na JLO wamezaa mapacha ndo mana imekuwa fashion pia Beyonce anatarajiaSiku hz kila mdada anataka mapacha tu,ila kupata hao mapacha ni majaaliwa tu Mungu.
Nadhani wameona akina Maria Carey, na JLO wamezaa mapacha ndo mana imekuwa fashion pia Beyonce anatarajia
KabisaMzizi Mkavu,
Hiyo point namba moja inaweza ikiwa haina mashiko kwa sababu kuna Watu kama 6 tofauti tofauti ambao wamepata Watoto mapacha wengine hata wakiwa na Miaka 26, ila kuna mmoja wao alipata akiwa na 34 yrs old! "Mimi huwa nasema kupata Watoto mapacha huwa ni Vinasaba vya kurithi" mfano kwenye familia yetu kuna Watu 5 tofauti wamezaa Mapacha!!
Sio nzuri kumeza madawa hovyo,hueza kulsababisha ovarian cystAsante ntaitafuta
KabisaTUMIA FOLOC ACID NI BORA ZAIDI KWANI
CLOMIPHEN ZINA ATHARI KUBWA HUSABABISHA OVARIAN CYSTS AU OVARIAN FIBROIDS NDO HUTAZAA HADI UPASULIWE ZITOLEWE