Nataka kuzaa mapacha; nifanyeje?

sherida

Senior Member
Joined
Feb 15, 2017
Posts
133
Reaction score
194
Naombeni ushauri jinsi gani navyooweza kuongeza nafasi yangu ya kupata watoto mapacha je kuna dawa?
 
Ndio, dawa inayoitwa Clomiphene Citrate ukitumia inaongeza chances za kuzaa mapacha.
 
Nipigie tuongee vizuri,ninayo dawa inaitwa kiboko ya fatuma namba ya sim ni 0656******
 
Siku hz kila mdada anataka mapacha tu,ila kupata hao mapacha ni majaaliwa tu Mungu.
 
baiolojia ya kidato cha tatu topic ya reproduction ,nahisi wengi waliochangia hapo juu walifeli hili somo,

kwa msaada nenda kwa daktari yeyote wa hospitali iliyokaribu na wewe muulezee shida yako,

nadhani kwanza atakushangaa halafu atakujibu kwa ufasaha.
 
Hakuna dawa duniani ya kusababisha mtu azae mapacha.....lakini kuna factors Kama family history yan kama kwenu kunamapacha inaweza kutokea CHANCE na ww ukabahatisha.......lakin dawa hakuna unless kwa test tube babies inawezekana kuchagua mapacha
 
Kiuhalisia amna dawa ya kufanya mapacha,ila nilishawahi kuskia skia et ukipiga kwenye angle flani hivi hua inatokeaa mapacha😀..
 
Kumbe hata binadamu kwa sasa mapacha ni dili nilijua ni abnormalities, kwa wanyama huwa mapacha ipo controlled kwenye viasili
Vya nasaba...
 

Sasa hiyo biology yako ya sekondari si uiweke hapa kama unadhani ina msaada we vipi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…