Nataka kuwafahamu

Nashangaa kwanini RT hawakuvumbua kipaji changu.
Uzeee wote ulikutoka umesahau kuwa mkaguzi naye hukaguliwa ndo ilikuwa siku yako ya kukaguliwa ungetulia tu!
 
maumivu yakikuzidi nione chapchap sana. hasa maumivu kwenye kimwaga mkojo.

Nikisikia maumivu najua wa kumfuata aniangalie kama kuna tatizo alitatue.
Tatizo una kidonge kidogo hakitaniponyesha babu.
 
Mbona hamjibu swali la mwenzenu jamani

Ndio nashangaa mtu anataka kujua, ili nayeye afuate lipi. Mimi nilitaka kumjibu sema babu Asprin akaniambia nisubiri eti huenda ana mkono wa sweta so mpaka amkague.!!!!
 
Ningekuwa nimekukagua ningejua kama una sifa za kumjibu ama la. Mtu mwenyewe umeshajipendekeza kwa visungura. ukikutana fisi si atakutafuna na nguo zako?
 
Babu huyu akiona sketi tu matatizo ya gafla yanaibuka
 
Ningekuwa nimekukagua ningejua kama una sifa za kumjibu ama la. Mtu mwenyewe umeshajipendekeza kwa visungura. ukikutana fisi si atakutafuna na nguo zako?

Huo ni wivu ndio unakusumbua, na wivu ni kidonda ukishiriki utakonda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…