Mu hali gani wana CC jamani mimi shida yangu mojatu nataka kuwafahamu.mana naona kuna
Mababu mabinamu mawifi
Mara mr na mrs.
Hv mfano couple za humu ni mke na mume kweli au
Siombaya nikapewa majibu na mimi nifahamu jamani.
Kabla hatujakujibu tuelimishe jinsia yako. Kama ni jinsia pendwa ya kike, then kam zis wei kwa ukaguzi. Tena uje without. Kama ni jinsia ME karibu sana Chitchat. Hairuhusiwi kutongoza warembo wa humu bila kibali changu.
Lady doctor njoo huku kwa maelekezo ya kina.
Mheshimiwa spika namba mwongozo wa kiti!
Yaani huoni dume hilo mheshiiiii mwongozo tafadhari!
a.rahabu karibu cc. ila ngoja nimuombe babu Asprin kuongea.
cc:Asprin
mheshiwa tuulize wazoefu. Nlishatongoza mtu humu nikajua ni kimwana. Tulivopanga kukutana kumbe bonge la njemba. Hiyo ndo siku niliyojua nina kipaji cha riadha....
Da basi endelea ila ukumbuke huo in mkono wa sweta waziri.
Mu hali gani wana CC jamani mimi shida yangu mojatu nataka kuwafahamu.mana naona kuna
Mababu mabinamu mawifi
Mara mr na mrs.
Hv mfano couple za humu ni mke na mume kweli au
Siombaya nikapewa majibu na mimi nifahamu jamani.
Subiri kwanza tutabaruku jinsia. Usijekutana na mkono sweta bure huko PM.
Hee babu huna habari mi nimeshaolewa na sungura1980. Now tunatafuta mtoto.
hivi kumbe hata sungura wanaoa?
Mu hali gani wana CC jamani mimi shida yangu mojatu nataka kuwafahamu.mana naona kuna
Mababu mabinamu mawifi
Mara mr na mrs.
Hv mfano couple za humu ni mke na mume kweli au
Siombaya nikapewa majibu na mimi nifahamu jamani.
Ndio uone sasa tena bonge la handsome,mrefu,mpole ana tabia nzuri, mengine ndio usiseme kabisa babu.
Bora sikupitia kwako raha ziko huku.
Hahahahahaaaa kumbe siku zote ulikuwa haujui ni mwanariadha mzuri!mheshiwa tuulize wazoefu. Nlishatongoza mtu humu nikajua ni kimwana. Tulivopanga kukutana kumbe bonge la njemba. Hiyo ndo siku niliyojua nina kipaji cha riadha....