Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 952
- 1,050
Pole sana mkuu,napata picha uchungu ulionao.Ngoja wataalamu waje.
Mkuu pole sana aisee, dunia ya sasa waaminifu ni wachache sana yani ni
ishu. So ulijuaje kama huna evidence? Huenda mtu kakwambia ili aharibu ndoa yenu, take care na maamuzi yako
Pole sana.
Huo ushahidi usio wa wazi ni upi labda? Ili tuone labda huo pia unaweza kufaa kwa wewe kutimiza adhima yako.
Tunapisema evidance katika ndoa siyo maneno hayo ya kuambiwa au kuona kwa sms nk ni mpaka umkamate hiyo ndo evidance
sms na facebook chat za hawala yake
sms na facebook chat za hawala yake
Pole sana kaka lazima ujichunguza kwanza mwenyewe wewe ni jembe na linajua kutifua kweli kweli kama uko poa fanya ivi take at easy kumbuka uoga ni dhambi chukua maamuzi huu tafuta mwanamke mwingine songa mbele usiangalie walimwengu watasema nn
Ok, kama ni huobhautoshi mkuu, unapaswa kufanya fumanizi. Ngoja wataalamu wa eneo hilo waamke wakusaidie.
Lkn usifanye maamuzi ya haraka, usiiache hasira ikusaidie kuamua, angalia pia ww umechangia vp ktk hali hiyo (kama sio tabia yake asilia), nayahisi maumivu unayopata lkn nenda taratibu tu ndg yangu.
Kama ana simu ya mfumo wa android ichukue na install find my friend kwenye handset yake kupitia 91 luncher naku hide kutoka menu. hizi zote uta download through google pray ni free. na pia utazi download kwako na kuziunganisha pia uta hide notification kwenye cm yake. Pole sana