Nataka kuvunja ahadi,,,,nioe mwingine!

Nataka kuvunja ahadi,,,,nioe mwingine!

kakota

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
266
Reaction score
59
JAMANI SIJUI PEPO AU TAMAA AMA UPENDO,mwenzenu nilimuhaidi mwanamke mmoja kuwa ntamuoa tukiwa kidato cha tatu nae tukahitimu ,akan sarit kwakuwa nilikuwa sikutulia eti alikuwa akini vumilia tu ,akamua kumrudia mpenz wake wakwanza nikambembeleza akakataa niakaenda chuo yeye akaenda kusoma nursing tukawa tume poteana kwa mda wamwaka 1 aliko enda kusoma akahama kwa bahati nzuri akahamia mkoa nao soma mimi alikuwa hajui kama mimi nasoma huko,siku ya siku tukaonana ,akashindwa kujizuia tuka salimiana basi tuka anza stori kwakuwa nilikuwa nampenda ,nikamtongoza mara ya pili akakubari,na nika muahid kumuoa,lla sikuwa serious sana yeye aka kokolea zaid ,nikamaliza chuo na yeye akawa tayari amehitimu ,aka anza kazi wakatimimi bado ,akaanza kunipotezea,namimi nikawa nimekolea,nika anza kazi bahati nzuri nikawa nime pangiwa kituo kimoja na dem mmoja mzuri ,cha ajabu demu akanikubali na mm nimemwelewa kinoma,yule nurse amekuja kasi anataka ndoa siku yoyote,nifanya je?nibwage nurse,au huyu mpya tunae fanya nae kazi,,,
 
Kosea kokote sio ndoa bob, na maamuz yake yanaathir mpaka watoto wako ...
 
Roho kupenda, hakuna tatizo.. yeyote utakayemuoa ndiyo basi tena so be carefully with selection
 
hahahahaha uwiiiii wazee wafunzeni jando vijana wenu,wanawaabisha kabisa.
 
Mzuri kinoma!!!! Mhhhh endelea tu..........! Hata ukimwoa atakuwa mzuri zaidi
 
naona bwa mdogo suala la kuoa unalifananisha na kuchagua maembe gengeni kwa Mangi!!

Ndiyo wadogo zetu hawa....ndani ya mwezi anatangaza ndoa....anakuuliza bro unatoka kazini saa ngapi nina mazungumzo....ukimweleza tofauti na anachotaka kusikia..BIFU linaanzia hapo...
 
Nahisi wew bado akili zako ni za kiboyfríend bado hazifika stage ya kuwa mume...ivo ngoja ngoja kwanza zikue
 
Back
Top Bottom