Nataka kuuziwa coaster mil 14 used Dar

MENISON

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
726
622
Nataka nijaribu kufanya hii biashara, mimi ni mwajiriwa hiyo pesa nimeweka akiba miaka mitatu. Nataka nianze na coaster moja , sema sina ujuzi na hii biashara.
Hiyo gari sina uhakika kama ni nzima sana, na nikichukua sitaendesha mimi.
Ipo Mbezi to Kawe , nataka iendelee na route hiyo hiyo.
Nina maswali yafuatayo
1 itaweza kurudisha hela baada ya muda gani?
2 Ni sh ngapi kwa siku kwa wastani madeeeva wanaleta?
3 Services zake ni baada ya muda gani na gharama?
4 Ni sahihi kwa ambaye hajawahi kufanya kuingia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kufanya hiyo biashara agiza gari, siyo hizo za mikononi. Pili tafuta dereva na konda mwaminifu. Bila hivyo ni maumivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Route hiyo inapesa sana kama ni mbezi-kawe via ubungo usiku wakati wa foleni kali unaweza fanya janjajanja ikapita goba (hapa abiria wa kimara na sehemu zingine utawakosa) ila pesa bado itakuepo.
.
Hiyo gari itakufilisi, otherwise ashushe bei muuzaji.
 
Nakushauri anza na pikipiki kama mbili ivi kwa muda wa miezi sita,baada ya hapo utakuwa ushazoea na kulisoma vizuri soko la vyombo vya moto,
 
Kazi ya daladala ina changamoto Sana kwanza kumpata dereva muaminifu kwenye gari mbovu sahau mkuu nasema gari mbovu kwasababu hiyo gari lazima itakuwa namba a au b kwa daladala itakuwa imechoka Sana hesabu kwa siku gari nzuri ni laki sijui iliyochoka ni ngapi oil unamwaga baada ya wiki mbili,,,, gari mbovu kwa sasa ni mtaji wa maaskari wa barabarani maana dereva atakula vyeti kila siku utagomba na na watu bure tafuta hela nunua gari nzuri tafuta dereva mzuri mstaarabu muelewa mpe mkataba hapo utatuliza kichwa, mkataba uwe hivi,, mkae nae chini muone gari imenunuliwa bei gani Kama ni million 50 mwsmbie nitafutie million 90 gari iwe yako hapo atatunza na kuheshi mkataba hela utaiona lakini kinyume na hapo ndani ya mwaka mmoja utaichukia gari yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom