Nataka kuuza Dangote cement

Nataka kuuza Dangote cement

mimi_wewe

Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
70
Reaction score
17
Habari wanajamvi,mimi nipo mkoani mwanza ninahitaji kuuza cement za dangote maana nimeona kwenye mitandao ya kijamii inabei nzuri sasa nitawezaje kuzipata so mwenye link yeyete ile naomba anisaidie
Naomba kuwasilisha!!
 
Back
Top Bottom