1. jifundishe basics za vitu vyote vya simu angalau ujue hata maana zake tu kuanzia display, usb, soc, motherboard, battery, charger etc
2. mfanye ifixit kuwa rafiki yako hawa jamaa kila simu inayotoka wanaifungua na kuifunga nakuelezea urahisi na ugumu wa utengenezaji simu husika.
iFixit: The Free Repair Manual
sidhani kama kuna course za ufundi simu, internet ndio itakuwa mwalimu wako