Nataka kusoma shortcourse ya network administration

Nataka kusoma shortcourse ya network administration

Mwinuka mzawa

Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
44
Reaction score
1
Wap ni sehem nzur naweza kusoma network adminstration and kupewa cheti cha CCNA na ni shilling ngap?
 
wacheki UCC tawi la dom au dar huwa wanatoa hii kozi.
 
UCC itakufaa kwani hata Mr.Chamber anawatambua zingatia ndo walioanzisha hii kitu hapa Bongo,zaidi ya muongo mmoja ulopita wakati huwa akina Bakar Jabir hawatapata u Dr.na kuna innstructor alikuwa anaitwa Mtui jamaa kichwa kwelikweli ila fegi 24/7 sijui yuko dunia ya wapi leo hii.
 
Back
Top Bottom