Wanaweza wakamipokea coz nna diploma ya marketing?
Ndugu wana jf mm namaliza diploma yangu ya Marketing management nataka intake ya january ni apply bachelor ya ICT je ni chuo gani kizur bongo????
achana na mambo ya ict kama unaweza, kama huna alternative poa. pia angalia family background kama mko vizuri yaan unaweza pata capital sawa kama kibongo bongo ndg yangu tutakuona sana hapa jf unalalamika.
Wanaweza wakamipokea coz nna diploma ya marketing?
Nini kinakukimbiza usiendelee na Marketing na nini kinakuvutia ukasome ICT?
Seriouzly speaking ICT ipo sana moyoni kuliko Marketing huku nahisi kama vile nakuwa mtumwa kusoma marketing aiseeee
Nenda kasome ICT hiyo naaa kama ukienda Mu wanaiita ICTM...hata mie naipendaga sana hii kozi..sema basi tu..ila ukisoma na ukawa na mawazo ya kujiajiri ndugu utafika mbali sana...
Wanaweza wakamipokea coz nna diploma ya marketing?
tubadilishane nkupe degree ya IT ya udsm unipe hyo ya marketing