Nataka kusoma bachelor degree in ICT

Nataka kusoma bachelor degree in ICT

O'level nilisoma sayans sema nilikuwa nna D za phy,chem,bio na F ya math na nna diploma ya marketing cwezi kuchaguliwa boy?

Mmmm kwa MU huwezi....labda uje uanze tena diploma. Au uombe course nyingine but sio IT
 
Ni kweli unapenda ICT, lakini una lengo gani baadae? ICT ni pana sana, ni lazima ujue unataka uwe mtu wa network, database, security, apps developer, graphic n.k hiyo itakusaidia na kukupa mwanga zaidi wa nini cha kufanya na uanzie wapi.

Jaribu kuchukua muda kutafakari maswali ya Twilumba na ukiweza kupata majibu ya kweli, itakusaidia sana. Vile vile jaribu kutafuta watu walio kwenye hiyo fani na upate muda wa kuongea nao, itakusaidia sana.
 
Nenda UDOM ukale raha, ada cheap mazingira mazuri, kigezo uwe umefaulu hesabu, physics.
 
ndugu wana jf mm namaliza diploma yangu ya marketing management nataka intake ya january ni apply bachelor ya ict je ni chuo gani kizur bongo????

iit kwa private universities au udsm au saint joseph au idm mzumbe
 
Km ulipata F kwenye MATH nadhani unaweza pata shida kwenye coz za hesabu
 
Nenda kasome ICT hiyo naaa kama ukienda Mu wanaiita ICTM...hata mie naipendaga sana hii kozi..sema basi tu..ila ukisoma na ukawa na mawazo ya kujiajiri ndugu utafika mbali sana...

Ndugu nina hiyo kibindoni, ki ukweli ICT sio kitu cha kusoma degree kwangu mimi njnge mshahuri akomae ha hayo mengine ya marketing au finance ni bora zaidi, then akitaka Master ndio akapige ya ICT itakayo major kwenye Finace/marketing/
 
Asante kwa ushaur wako broo
 
Hizi kozi zimeshajaa watu, wahitimu wengi lakini fursa chache fikiria ukimaliza unakuja kucompete na waliosoma computer science, information system, Information technology, computer engineering na kadhalika, so kama ukifocus kuajiriwa ndugu yangu utasota maana ajira zake zinatoka moja moja then mnaitwa interview watu 300
 
mkuu okey kwa hiyo bussines course na It tumushaur asome ip labda ila kwa ushauri technoloy imekuja kumeza vitu vingi so kwa hiyo Aendelee na Marketing au Ict???
 
Back
Top Bottom