Nataka kusoma bachelor degree in ICT

Nataka kusoma bachelor degree in ICT

mkuu okey kwa hiyo bussines course na It tumushaur asome ip labda ila kwa ushauri technoloy imekuja kumeza vitu vingi so kwa hiyo Aendelee na Marketing au Ict???

Ni kweli plz nishaur nisome ipi hapo
 
Ndugu nina hiyo kibindoni, ki ukweli ICT sio kitu cha kusoma degree kwangu mimi njnge mshahuri akomae ha hayo mengine ya marketing au finance ni bora zaidi, then akitaka Master ndio akapige ya ICT itakayo major kwenye Finace/marketing/
Ndugu ni kawaida kwa binadamu kuona kitu asicho kua nacho hakimfai..binafsi nimesoma Sheria..naona sheria magumashi kuna vitu vingi sana ningeweza vifanya kwa muda mdogo sema sababu ya knowledge ndogo ya IT natumia muda mwingi kuvia accomplish..IT ni fresh sana ukiwa na mawazo ya kujiajri utaona life liko fresh tu yan..Amini hivyo ndugu..
 
Mmmmm kuna kampuni moja (international) imefungua tawi 3years back Tz..... hawataki kusikia wanaICT wa UD wanasema wana GPA kubwa ndio lakini practical hawawezi

Udsm hamna ICT.. kuna Bsc. in Computer Science, Bsc with Computer science au Bsc. Computer Engineering & IT...labda hao ni wa UCC hao...
 
Mkuu amini or usiamini IT now ndio mpango mzima acheni kuwaka kuajiriwa jiajirini mtatoka komaa in 5 years alafu utaniambia utajiri utakao make in IT dunia Sience na technlogy utasemaje techno haina Maaana??thing big
 
Ndugu ni kawaida kwa binadamu kuona kitu asicho kua nacho hakimfai..binafsi nimesoma Sheria..naona sheria magumashi kuna vitu vingi sana ningeweza vifanya kwa muda mdogo sema sababu ya knowledge ndogo ya IT natumia muda mwingi kuvia accomplish..IT ni fresh sana ukiwa na mawazo ya kujiajri utaona life liko fresh tu yan..Amini hivyo ndugu..

mkuu kula like IT in the best hata katika sheria mchana mwema
 
Kitu kizuri kuhusu ICT ni ukiwa mzuri na ukajua fani yako sawa sawa utatoka tu. Ni kweli kuna watu wengi wenye vyeti vya ICT lakini uwezo wao wengi bado haufikii viwango vinavyotakiwa. Nenda komaa na networking au programming, bado tuna upungufu sana wa watu wazuri kwenye hivi vitengo. Speaking from experience
 
Back
Top Bottom