Nataka kurudi chuo Naomba ushauri wenu

Nataka kurudi chuo Naomba ushauri wenu

Kama kichwa cha habari kinavyojielezea hapo juu.
Mm nilimaliza kidato cha sita 2013 comb. Pcm nikawa Nimepata physics -S, chem-E, na pure math -F
Kwahivyo nilikata tamaa kwakuwa nilikuwa mwanafunz ninaejituma kwakuwa pia o-level nilipata div. 1(17)
Pia sikuweza ku apply kuomba kozi kwakuwa nisingepata eng degree niliotaka hivyo nikaamua kutafuta maisha mengne Kama biashara n. K
Naomba ushauri wenu nirudie mtihani wa kidato cha sita? Au niende diploma? Jamani nisaidieni ushauri wanajf [emoji29] [emoji22]

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Ni vyema ukasema malengo yako ni nini hasa?

Sent from Samsung Galaxy S8 Plus using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: smy
Kijana acha kuzembea. Miaka haisimami. Safisha cheti hiko cha kidato cha sita kisha ingia chuo.
 
Mkopo nitapata kaka? Pia kozi

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
ok sasa hpa ndiyo in bobo ok nenda kasome uuguzi kama vigezo unavyo.
Inbox inasumbua
Vigezo vya Kusoma kozi yoyote ninavyo kwakuwa o-level nilipiga
Phy-B, chem-B, p/maths-B,biology-c

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Inbox inasumbua
Vigezo vya Kusoma kozi yoyote ninavyo kwakuwa o-level nilipiga
Phy-B, chem-B, p/maths-B,biology-c

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
basi usipoteze muda sijui wa kusafisha cheti. wakati kuna wenzako walikua hawana cheti yaani walifaulu kupitia stationary na walikua madokta sembuse wewe.
 
  • Thanks
Reactions: smy
Hapo ndio ninapoiheshimu Advanced level kwa comb kama hiyo.

Mkuu apply kozi ya Diploma ya Diagnostic Radiography chuo cha Muhimbili.

Ukisema uanze kusafisha cheti utapoteza muda bure.

Wapo waliokuwa na ufaulu kama wako na wakaapply diploma sasa wengine washamaliza na wengine wanamaliza mwaka huu.
Fanya chap bado hujachelewa mkuu
 
basi usipoteze muda sijui wa kusafisha cheti. wakati kuna wenzako walikua hawana cheti yaani walifaulu kupitia stationary na walikua madokta sembuse wewe.
Ahsante kaka

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Hapo ndio ninapoiheshimu Advanced level kwa comb kama hiyo.

Mkuu apply kozi ya Diploma ya Diagnostic Radiography chuo cha Muhimbili.

Ukisema uanze kusafisha cheti utapoteza muda bure.

Wapo waliokuwa na ufaulu kama wako na wakaapply diploma sasa wengine washamaliza na wengine wanamaliza mwaka huu.
Fanya chap bado hujachelewa mkuu
Ahsante kaka kwa ushauri wako

Back
Top Bottom