unapoteza muda halafu unakuja kuibuka na zero, yote ya nini hayoHamna ugonjwa mbaya kama kurisiti fanya mengine lakini sio upuuzi huo
Una umri gani? Na lengo kubwa la kurest ni lpiHabarini wanajamii forumn?
Mimi ni mwalimu ,Huu mwaka nilikua na mpango wa kwenda kusoma,sasa ndalichako nae kaja na yake 3.5GPA hakuna aliepata chuo cha deploma ya elimu
Sasa nimeona nilisiti lakini nikiangalia matokeo ya form six waliolisiti ni balaaa ,wengi PCM wamepata ziro!! Sasa nafikilia jinsi ya kupambana na mtihani hasa practicals na materials mengine laa sivyo nitastaafia na deploma jamani!! Naombeni ushauli haisee
What is your visionHabarini wanajamii forumn?
Mimi ni mwalimu ,Huu mwaka nilikua na mpango wa kwenda kusoma,sasa ndalichako nae kaja na yake 3.5GPA hakuna aliepata chuo cha deploma ya elimu
Sasa nimeona nilisiti lakini nikiangalia matokeo ya form six waliolisiti ni balaaa ,wengi PCM wamepata ziro!! Sasa nafikilia jinsi ya kupambana na mtihani hasa practicals na materials mengine laa sivyo nitastaafia na deploma jamani!! Naombeni ushauli haisee
Habarini wanajamii forumn?

Nimekuulza hapo juu hujanijibuMy vision is one day to become an engineer