Nataka kuoa mwanamke wa pili

Nataka kuoa mwanamke wa pili

Choosen85

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,190
Reaction score
5,049
Wakuu kamwene, mwamishaga.
Iko hivi nlipata mdada mmoja kwenye group la kabila letu nikampenda nikamwambia anitumie picha akawa anatuma picha ambazo kumbe ni edited si halisia mdada alikuwa south africa huko na nduguye nikamshawishi aje tuanze maisha kweli akakwea pipa mpk DSM nikampokea aisee nlipomuona nikagundua zile picha alikuwa ana edit tu.

Kiukweli sikumpenda sa naanzaje kumwambia kwamba mi sijakupenda ikabidi nikubaliane na hali halisi kwama huu ni mzigo wangu sina budi kuubeba tulipumzka na kesho yake tukasafiri kwenda kwao nikajtambulisha nk. nikaondoka naye mpk kwangu huu ni mwaka wa 4 kwa kweli ni mwanamke mtii sana uzuri pia mi sipigagi mwanamke kabisa nikampa mtaji wa biashara anaendelea vema sana na anajituma hana tatizo kwa kweli.

Sasa nimeamua kutoka moyoni takuwa na wake wawili yani nitaoa mwingine wawe wawili kila mtu na mji wake na yeye simuachi abaki kuwa mke wangu mkubwa na mdogo atakuwepo naahidi nitawapenda na kuwatunza wote kama wake zangu. JE WAKUU MNAONAJE?
 
Nyapu,,,, nyama ya hamu,,,, usishindane na ulipotoka ,,,wazee wetu walioa sana lakini wapi walikufa fukara na upuuzi uliotwa utajiri wa watoto wengi !
 
Wakuu kamwene, mwamishaga.
Iko hivi nlipata mdada mmoja kwenye group la kabila letu nikampenda nikamwambia anitumie picha akawa anatuma picha ambazo kumbe ni edited si halisia mdada alikuwa south africa huko na nduguye nikamshawishi aje tuanze maisha kweli akakwea pipa mpk dsm nikampokea aisee nlipomuona nikagundua zile picha alikuwa ana edit tu kweli skumpenda sa naanzaje kumwambia kwamba mi sjakupenda ikabidi nikubaliane na hali halisi kwmb huu ni mzigo wangu sina budi kuubeba tulipumzka na kesho yake tukasafiri kwenda kwao nikajtambulisha nk nk nikaondoka naye mpk kwangu huu ni mwaka wa 4 kwa kweli ni mwanamke mtii sn uzuri pia mi sipigagi mwanamke kbs nikampa mtaji wa biashara anaendelea vema sn na anajituma hana tatzo kwa kweli. Sasa nimeamua kutoka moyoni takuwa na wake wawili yan taoa mwngne wawe wawili kila mtu na mji wake na yeye simuachi abaki kuwa mke wangu mkubwa na mdogo atakuwepo naahidi nitawapenda na kuwatunza wote kama wake zangu. JE WAKUU MNAONAJE?
we oa tu usitushirikishe Sisi ujinga wako
 
JE WAKUU MNAONAJE?
Jifunze kufanya maamuzi kwa kutumia akili yako vizuri na usipende kushikiwa akili. Umeoa mke wa kwanza halafu wa pili unataka ushauriwe?? Wewe si ndiyo unajifahamu ??

Decision-making​

Decision making is the process of making choices by identifying a decision, gathering information, and assessing alternative resolutions.

Wakuu kamwene, mwamishaga.
Iko hivi nlipata mdada mmoja kwenye group la kabila letu nikampenda nikamwambia anitumie picha akawa anatuma picha ambazo kumbe ni edited si halisia mdada alikuwa south africa huko na nduguye nikamshawishi aje tuanze maisha kweli akakwea pipa mpk dsm nikampokea aisee nlipomuona nikagundua zile picha alikuwa ana edit tu kweli skumpenda sa naanzaje kumwambia kwamba mi sjakupenda ikabidi nikubaliane na hali halisi kwmb huu ni mzigo wangu sina budi kuubeba tulipumzka na kesho yake tukasafiri kwenda kwao nikajtambulisha nk nk nikaondoka naye mpk kwangu huu ni mwaka wa 4 kwa kweli ni mwanamke mtii sn uzuri pia mi sipigagi mwanamke kbs nikampa mtaji wa biashara anaendelea vema sn na anajituma hana tatzo kwa kweli. Sasa nimeamua kutoka moyoni takuwa na wake wawili yan taoa mwngne wawe wawili kila mtu na mji wake na yeye simuachi abaki kuwa mke wangu mkubwa na mdogo atakuwepo naahidi nitawapenda na kuwatunza wote kama wake zangu. JE WAKUU MNAONAJE?
Jiandae kupata storke
 
Wenzako wanafikiria kuongeza biashara wewe niupuuzi tu
 
Ukijiridhisha moyo wako waitaji mke wa 2, usiulize mtu ushauri, nenda kaoe! Ila kwa namna unavyomuongelea shemeji yetu nakushauri usioe, weka ka Nyumba ndogo mahali na usizae!
 
Wakuu kamwene, mwamishaga.
Iko hivi nlipata mdada mmoja kwenye group la kabila letu nikampenda nikamwambia anitumie picha akawa anatuma picha ambazo kumbe ni edited si halisia mdada alikuwa south africa huko na nduguye nikamshawishi aje tuanze maisha kweli akakwea pipa mpk dsm nikampokea aisee nlipomuona nikagundua zile picha alikuwa ana edit tu kweli skumpenda sa naanzaje kumwambia kwamba mi sjakupenda ikabidi nikubaliane na hali halisi kwmb huu ni mzigo wangu sina budi kuubeba tulipumzka na kesho yake tukasafiri kwenda kwao nikajtambulisha nk nk nikaondoka naye mpk kwangu huu ni mwaka wa 4 kwa kweli ni mwanamke mtii sn uzuri pia mi sipigagi mwanamke kbs nikampa mtaji wa biashara anaendelea vema sn na anajituma hana tatzo kwa kweli. Sasa nimeamua kutoka moyoni takuwa na wake wawili yan taoa mwngne wawe wawili kila mtu na mji wake na yeye simuachi abaki kuwa mke wangu mkubwa na mdogo atakuwepo naahidi nitawapenda na kuwatunza wote kama wake zangu. JE WAKUU MNAONAJE?
Oa tu mkuu
 
Unataka kuongeza mahangaiko na mastress kwenye maisha yako hadi unakufa kisa sura? Kumbuka you will never have the same amani uko nayo, mke wa kwanza hatokupenda tena kama anavokupenda saivi, yaan akiamua kubaki na wewe ni ile ilimradi watoto wakue ila sio sababu ya ndoa na mapenzi, hamtaongea na kupanga pamoja kwa upendo kama zamani, mke mdogo ndo ataingia na yake atavuruga kila anachoona kiko sawa kivurugike, kumbuka pia wanawake weengi saivi wanapenda urogi yaan kiufupi utakuwa umeingia Gaza ndogo hadi unaingia kaburini
 
kuhusu sura hapana mbona mwanamke wng ni mzuri tu ni mnyaturu si unajua watoto wa singida ila mi skumpenda tu baada ya kumuona live kuna vitu alikuwa anajiongezea ni hvyo tu khs kuongeza wa pili nadhan tamuweka mbali sn na huyu wa kwanza kila mtu na maisha yake, khs ulozi MUNGU ATANITETEA kama akniacha niangamizwe bs.
 
Pole sana na pole tena na tena, hakuna rangi utaacha kuona
 
Back
Top Bottom