Mmh kaka , si vibaya kua na wazo hilo ila kama kijana mzanzibar ambae najua hulka za watu ambao wana asil ya uarabu nikiwa ni miongon mwao nataka nikupe sifa mbil tatu walizonazo hao watu , kiukwel kama maisha yako ni yakujiweza vzur had unamilik kiusafir japo ki vitz go ahead na km unaweza ku mudu pressure za familia yke pindi utapomuowa kwan familia za kiarab zna dharau sana sio zote ila nazungumzia majority ukiwa huna kitu manno mann hayatoisha had mwanamke hata kam anakupenda kwel bas anajikuta anashindwa kuendelea na ww , kwan wao wanapenda luxuries yaan hawatoridhika na ww moyon km mtoto wao atakusa luxuries na jitayarishe na ugeni wa mara kwa mara wa ndugu tena wanapokuja sio mmja watakuja weng na kipind icho wataangalia mapunguf ya nyumba na kuenda kuyajadl , la mwisho km huna nyumba yakwako mwenyew forget about it au lazima na ww mwenyew uwe asili yao ....