Nataka kuoa lakini nalala chini...

sasa mkubwa,piga mimba kwanza ndo muanze maisha hao watu hawaeleweki aise

wee nae una-roho mbayaaaa..

Yani ampige mimba kisha wazae mtoto nae alale chini kama baba na mama yake?...hebu muhurumie hata mtoto mchanga malaika wa mungu hana hatia kulala chini na chumba kimoja na godoro tuu...

Ungemshauri akaze kiume anunue kitanda coz hiyo laptop anayotumia kuchat fb na jf akiiuza anapata pesa ya kitanda chake na cha mtoto na kuongeza sebule mtoto awe analala sebuleni.
 

ha ha haaaa mkuu,
yule demu anawaza kukimbia akikaanaye mana hajazoea shida so akichapa mimba demu atatoa mali kwao alete kwa mshkaji waendelee mbele
 

Kama hayo ndio maisha yako, futa kabisa mawazo ya kuoa kwa sasa. Subiri mambo yatakapo kaa sawa. Yasiponyooka basi endelea kuishi maisha ya kiseja. Usicheze na maisha ya ndoa. Hayataki ubabaishaji. Utakwama mbele ya safari.

 
Tena anayekubali kuanzia chini looooooooooooooh!!!!!!!!!! ajabu la dunia. Siku wakifika juu mapenzi yanaongezeka au na tofauti yake pia. All the best ndg, uchichafune, uchimeche, uchimumunye na pia uchecheme.

Ishu inakuwaga, baadae jamaa akizipata anasahau kila kitu anaota na mapembe kabisa.......
 
mmh kweli una bahati sana kwani mabinti wa siku hizi wanaangilia hali ya uchumi kwanza lakini jipange kwanza then ndo umuoe kumbuka bado wewe ni baba na ni kichwa cha nyumba
 
Kuwa muangalifu sana na kauli za wanawake ndugu yangu,hawaelewiki
'
Atakukubalia halafu mtaanza kisha atakuacha njiani,kuwa makini sana!
 

Akichelwa kurudi usimuulize!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…