...hongera kwa kumpata anaekupenda, umepata bahati ya mtende!!!!!
Mkuu umenifurahisha sana... Ila watatengeneza bomu aisee..
ha ha haaaa bom lip mkuu
aaaaaaaa unajua nilitania kiongoziWamekuta humu JF afu inaonekana wote ni ME sasa wakioana si watatengeneza bomu hapo
mmmm huyo kweli kakupenda, kumbe wapo wa hivi duu.
Ila na kushauri usikimbilie kuoa kama mambo hayaja kaa sawa na unategemea yatakaa sawa hivi karibuni.
Ila na hisi hipo siku utamwaga machozi huyo binti.
Consider that as Lucky......
May be anafurahishwa na mzigo unaopiga kunako 6*6
Acha utoto ww,huo mzigo anaopiga wakimaliza mwezi demu atamchoka,akijiangalia alivozeeshwa afu hata sehemu nzuri ya kulala hamna atarethink uamuzi wake,its a matter of time coz pen.is does nt put food on the table
utoto wangu ni nini hasa!!!!!!!!
naomba unijibu then tuendelee na mengineyo
Kumix se3 na real love
Sijamix na I do understand kwamba Love is no
longer blind,Love is future
sasa nakushangaa from nowhere unaanza kuniita mtoto
next time ufatilie conversation mwanzo mwisho then uanze
ku addresses watu hayo majina
aaaaaaaa unajua nilitania kiongozi
Shwari bishost,usiwe serious na jf kihivo wengine ndo sehemu za kutolea stress after kazi lol
si kogi sirias kihivo,ila kuna mda mtu akinichokoa naendaga nae sambamba
h