Nataka kuoa lakini nalala chini...


Usiendekeze kuunga unga kijana....mwanaume ni mipango. Kila iitwapo asubuhi uwe na PLANS. hizo ndo kila kitu. Hakuna mwanaume ambaye ataitwa mwanaume wa maana kama hataweza kutunza familia. Haijalishi ukoje, kama we mwanaume basi komaa mradi familia ipate mahitaji muhimu ya binadamu kama kula vizuri, kulala vizuri na nguo. Komaa hadi kieleweke kisha uje hapa U drink at the table of Men!
 
^^
Kaunga
Ur right,,huyo pasua kichwa ndo alinifanya nusura niende kwa jela,,ila utulivu kitu chema,,nilishajitenga nae.Hii mechi ya mapenzi ni mtazamaji aliyekaa mlango wa kutokea ili mkianza ngumi naondoka sitaki ushahidi
^^

Ahaha acha uoga kaka..penda ila penda kwa uangalifu...

Preta, kitanda changu kiko hivi..

 
Last edited by a moderator:
Kaunga hebu nitabirie na mimi nitapata wa namna ipi.
Nina kila kitu ndani, wa kuja kivichungulia wapo ila hakuna mwenye wazo la kusettle...au tuseme hawajafikia level ya kujikubali kuitwa mama fulani...bado hawajamaliza ujana!!!
Mara tu nishakuwa mtabiri.....Hahahah
Mentor kuna kaka in his early forties tuko naye, yeye kila mdada ana mapungufu (anamtoa kasoro) kwa jinsi ninavyomuona bado yupo yupo sana na huenda asioe.

Sisemi nawe upo ktk kundi hilo, ila huenda choice ya girls wako huenda ndio ya wale ambao they eat their cake and still want ti have it. Lkn pamoja na yote, hakuna binadamu ambaye ni malaika na siku zote tunajaziana mapungufu.
 
Last edited by a moderator:
mmmm huyo kweli kakupenda, kumbe wapo wa hivi duu.
Ila na kushauri usikimbilie kuoa kama mambo hayaja kaa sawa na unategemea yatakaa sawa hivi karibuni.
Ila na hisi hipo siku utamwaga machozi huyo binti.

nina imani atasaidia ,lakin kwanin unadai ntamwaga choz
 
umeeleweka kwa sana
 

Wala! mimi sichagui sana ndiyo maana I have lots of them..ila kwenye hilo suala la kujaziana mapungufu ndo unakuta wengi wana mapungufu yale yale niliyonayo mimi...halafu mbaya zaidi nawazidi kwa mazuri!

Mfano:

Anakuja binti kukusalimu halafu anakuambia duh hakuna kitu nachukia kama kutandika kitanda. I go like WTH...hicho nacho mbona ni wekness yangu!!!

Haya ni lunch time...naanza kujiandaa na kupika! mdada wala hajishughulishi...unashangaa huyu binti vipi...ndo kwanza bize kubadili muvi!!!

Aargh sijui kama ni kuchagua sana...
 
Maisha maridhiano bwana mkubwa changamkia bahati hiyo...ila mkumbuke kujiweka sawa kimaisha kwa maana ni wazi mapenzi bila hela yanafubaa...
 
Hahahah, bado hujapenda maana unachofanya ni kuchagua. Ukipenda mbona hakuna weakness utakayoiona haibebeki.

Anyway, kwakuwa ndoa ni lifetime commitment kuchagua ni vizuri ingawa haijaweza gurantee lifetime happiness. Bora kupenda maana, ukipenda ni rahisi kuvumilia mapungufu kuliko kuchagua kwa akili na kukumbana na unpleasant changes baadaye.
 
Kaunga hebu nitabirie na mimi nitapata wa namna ipi.
Nina kila kitu ndani, wa kuja kivichungulia wapo ila hakuna mwenye wazo la kusettle...au tuseme hawajafikia level ya kujikubali kuitwa mama fulani...bado hawajamaliza ujana!!!

Aah! Mbona hujasema MENTOR...kwani mi cfai!!?
...mi nafaa kabisa kuwa mama,hata km una lala chini,ucjali
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…