BUCHANAGANDE
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,512
- 482
Kashakuambia ukilipa mahari na vikao vinaendelea vya harusi, atabadili imani. What else do you want sasa? Yaani you are just a boyfriend abadili dini kwa ajili yako? Ebooo, utajajaaliwa watoto wa kike wewe Mungu akulipizie,ohooo!

Dini gani mnazo ongea nyie hakuna dini zaidi ya uislamu....Kama wewe muislamu kamuowe na kama wewe ni mkristo na bint ni muislamu wala usisogee kumpoteza mwenzako afate dini za kujitungia.
Dini gani mnazo ongea nyie hakuna dini zaidi ya uislamu....Kama wewe muislamu kamuowe na kama wewe ni mkristo na bint ni muislamu wala usisogee kumpoteza mwenzako afate dini za kujitungia.
Nyie mnasema Yesu ni mtoto wa mungu wakati hamuwezi kutueleza wapi Mungu kasema ana mtoto>Point ya pili vitabu vyenu vya dini vinakan'yagana mara mnasema Yesu ni mungu mara vinakataa chukua mfano the old testament has very explicitly and emphatically enjoined belief in one God....Sasa kama mnaamini Mungu ni mmoja vipi na Yesu awe mungu?can you prove your statement kuhusu dini za kujitungia?au unambwelabwela tu fazaa
Hahaha mtabakia kutembea na misalaba tu msisahau Yesu hajapigiliwa kwenye msalaba...Dini ni moja tu na Mungu ni mmoja.we bwana wee, nyie ndio mnaochochea udn katika nchi hii, heb tupishe babu, halaf unaona raha gan kuikashifu dn ya wenzio kumbuka kuna mataifa watu wanauana kla siku sabab ya udin ambao ww unauleta hapa, iman ni kitu sensitive mno usicheze na iman za watu, kha unataka kuniharibia ijumaa yangu, hb nkupotezeee mie
Hahaha mtabakia kutembea na misalaba tu msisahau Yesu hajapigiliwa kwenye msalaba...Dini ni moja tu na Mungu ni mmoja.
Nyie mnasema Yesu ni mtoto wa mungu wakati hamuwezi kutueleza wapi Mungu kasema ana mtoto>Point ya pili vitabu vyenu vya dini vinakan'yagana mara mnasema Yesu ni mungu mara vinakataa chukua mfano the old testament has very explicitly and emphatically enjoined belief in one God....Sasa kama mnaamini Mungu ni mmoja vipi na Yesu awe mungu?
Hajakosea Yesu alipowajibu ->>I am not sent but unto the lost sheep of the house of Israel (Matthew 15:24)
Mtabakia kuwa makondoo tu hamuwezi kutueleza wapi Yesu kasema fateni ukristo au Yeye dini yake ni kristo.