Nataka kuoa jini

Majini hayana utani!! Sasa nikuhakikishie hata sasa unaishi na jini na usiku ndoto zako za kujamiana ni kweli jini linakufaidi subiri sasa madhara!
 
Kumbe weni mwanafunzi...
Sasa leo nimekuelewa
 


Mkuu mshana jr naomba umpe msaada wa kuopoa majini huyu kijana HR 666
 
Tena kwenye unyumba unamwambia akufanyie maujini jini yake unakuwa na minguvu ya kiume ya ajabu unamla siku mbili mfululizo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…