kwa tecno mp13 hapo kiuhalisia itakuwa mp2.kama vipi linganisha picha yake na picha iliyopigwa na galaxy s4 ambayo ndio ina mp13 utaona tofauti kubwa sanaKuna simu mpya naziona madukani ni za tecno c 8. Vipi ubora wake? Nilichovutiwa zaidi ni uwezo wa camera 13 Mega pixel. Na bei nimezunguka naambiwa hata 280,000 napata. Naomba wanayoijua vizuri tuidiscus uzuri wake na madhaifu yake. Pia vipi kuhusu tecno c5 na boom 7?. Pia kuna simu nyingine bora zaidi naweza pata kwa bei ya 250000 - 300000?.
Achana na hizo simu mkuu..ongeza pesa kidogo upate simu nzuriKuna simu mpya naziona madukani ni za tecno c 8. Vipi ubora wake? Nilichovutiwa zaidi ni uwezo wa camera 13 Mega pixel. Na bei nimezunguka naambiwa hata 280,000 napata. Naomba wanayoijua vizuri tuidiscus uzuri wake na madhaifu yake. Pia vipi kuhusu tecno c5 na boom 7?. Pia kuna simu nyingine bora zaidi naweza pata kwa bei ya 250000 - 300000?.
Mkuu ushauri wako ni wabusara sana lakini wakati mwingine mtu huangukia kununua tecno na simu zenye hadhi sawa na tecno kwasababu ya upatikanaji wa simu ambazo wengi mnashauri humu jukwaani changamoto ni kwa wafanyabiashara wetu wa tz hasa sisi wa mikoani utakuta unapitia karibu kila duka simu yenye thamani kidogo ni tecno ndio wamezijaza na makampuni mengine yasiyojulikana sasa unakuta zipo simu nzuri zenye bei sawa na uliyo nayo lkn unaipata wapi hilo swali la kwanza ukibahatika kuipata basi huipati kwa bei uliyodhani unakuta ipo juu na hasa kwenye maduka haya ya mitandao ya simu.Achana na hizo simu mkuu..ongeza pesa kidogo upate simu nzuri
Natanguliza pole kwa sababu unaweza ukawa bado mjinga yani ujaelimika kujua neno fake na low quality, tecno sio fake inaweza kuwa ni low quality kwa baadhi ya model fulani ya matoleo yakeTecno ni simu fake! Kainunue at your own risk!
Kukariri majina ni kubaya sana, kwahiyo ukikutana la Samsung, Lg nk hizo ndio original. Angalia sana utakuja ulizwe mjini kujifanya unajua.Tecno ni simu fake! Kainunue at your own risk!
Una uhakika? Kaulize TCRA ndio uje tenaTecno ni simu fake! Kainunue at your own risk!
Camera ya C8 ni 13MP hata kama quality yake haifikii samsung au sony ya 13mp lakini bado huwezi kulinganisha na camera yoyote ya 2MP.kwa tecno mp13 hapo kiuhalisia itakuwa mp2.kama vipi linganisha picha yake na picha iliyopigwa na galaxy s4 ambayo ndio ina mp13 utaona tofauti kubwa sana
Camera ni nzuri, screen size inaridhisha, ina flash mbele na nyuma. Speed na ram ni nzuri.Kuna simu mpya naziona madukani ni za tecno c 8. Vipi ubora wake? Nilichovutiwa zaidi ni uwezo wa camera 13 Mega pixel. Na bei nimezunguka naambiwa hata 280,000 napata. Naomba wanayoijua vizuri tuidiscus uzuri wake na madhaifu yake. Pia vipi kuhusu tecno c5 na boom 7?. Pia kuna simu nyingine bora zaidi naweza pata kwa bei ya 250000 - 300000?.