Nataka kununua Tablet, aina gani ni nzuri?

Nataka kununua Tablet, aina gani ni nzuri?

Kitimoto

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2012
Posts
8,191
Reaction score
9,855
Naomba ushauri wa Tablet gani nzuri niweze kununua. Naomba mnipatie aina 3 tofauti za Tablets na mnaweza mkaniwekea na bei zake na ni maduka gani naweza kwenda nikapata.

Mimi niko Dar es Salaam.
 
Naomba ushauri wa Tablet gani nzuri niweze kununua. Naomba mnipatie aina 3 tofauti za Tablets na mnaweza mkaniwekea na bei zake na ni maduka gani naweza kwenda nikapata. Mimi niko Dar es Salaam.

size ya screen unataka 7" au 10.1!?
budget je?
 
Sijui unahitaji kwakutibu nini? Kabla hujapatashida chukua paracetamol mkuu!
 
7" nadhani itanifaa sababu ya 10" inakaribia ukubwa wa Laptop, budget sio tatizo Mkuu. Nataka yenye kutumia sim card

Naona wengi hununua Samsung galaxy Tab 2 au 3 ukipata tab 4 poa pia Ila pia ukienda samsung shop ulizia Samsung Galaxy Tab S Nafikiri wameizindua mwaka huu sina hakika kama ipo sokoni kwa hapa Dar ila ndo ya ukweli kuna yenye size ya 8.4"
 
7" nadhani itanifaa sababu ya 10" inakaribia ukubwa wa Laptop, budget sio tatizo Mkuu. Nataka yenye kutumia sim card

inch 8-9 siku hizi ndio fashion pia ndio nzuri zaidi.
kuna os tatu za kuchagua
-ios sawa na iphone
-android
-windows

kwa ios ipad mini 2 ipo.
iPad-mini-2.jpg

ukienda posta posta huko utazikuta zipo version zinazoingia simu pia.

kwa android galaxy tab s ya 8inch
DSC_5732sm_678x452.jpg

hii ni kati ya tablet bora kwa sasa, pia inapatikana kiurahisi kwa mawakala wa samsung

kwa windows thinkpad 8
hii nayo ndio best 8 incher win 8 tablet
lenovothinkpad8_large_verge_medium_landscape.jpg

kwa kuinunua?? sipajui
 
soory kwa kwenda nje ya mada

Hivi mkuu Chief-Mkwawa simu kuwa slow kwenye touch inaweza kua ni mdudu gani huyu? Simu yangu ya samsung kuanzia jana yaani naadika SMS kwa shida sana mpaka sitaki kuchat kabisa

Nimeangalia kwenye settings kama kuna somewhere labda pa kupunguza au kuongeza touch sensitive sijaona
Msaada wa mawazo unaitajika
 
soory kwa kwenda nje ya mada

Hivi mkuu Chief-Mkwawa simu kuwa slow kwenye touch inaweza kua ni mdudu gani huyu?
Simu yangu ya samsung kuanzia jana yaani naadika SMS kwa shida sana mpaka sitaki kuchat kabisa
Nimeangalia kwenye settings kama kuna somewhere labda pa kupunguza au kuongeza touch sensitive sijaona
Msaada wa mawazo unaitajika

Wakati wote au kuna wakati inafanya wakati haifanyi?

kuna kipindi simu yangu ilikuwa inabehave hivyo then nikaja kujua kuwa imekufa internal memory, yaani zile flash memory zimeanza kufa. hio ni moja ya tatizo.

jaribu kufanya troubleshoot ndogo ndogo kama kuzima simu, kutumia mikono ikiwa mikavu, kuformat nk. ikikataa unroot wapelekee samsung kama una warranty
 
wakati wote au kuna wakati inafanya wakati haifanyi?

kuna kipindi simu yangu ilikuwa inabehave hivyo then nikaja kujua kuwa imekufa internal memory, yaani zile flash memory zimeanza kufa. hio ni moja ya tatizo.

jaribu kufanya troubleshoot ndogo ndogo kama kuzima simu, kutumia mikono ikiwa mikavu, kuformat nk. ikikataa unroot wapelekee samsung kama una warranty

yaani ilianza hivi.

sehemu fulani ya screen ilikua hai respond kabisa yaani hii nilikua inanipa Shida nikifungua JF android app afu nkafungua Education forums sasa ile sehemu ya JF tech yaani ya pili kutoka juu ilikua hai respond na hiyo sehemu ni kwa vitu vyote ila shida kubwa nilikua naipata kwenye JF app...

Iakini inabidi nifanye factory reset bado tatizo likabaki pale pale jana tatizo jingine likaibuka nikiwa na type na keyboard hazi respond kabisa kuna herufi mpaka uziminye mara kadhaa ndo inaandikwa nikafikiri labda ni protector nikaiondoa bado ikawa worse nimenunua nyingine leo protector shida pale pale.

labda hapa nijiandalie tu kwenda Samsung.
 
yaani ilianza hivi
sehemu fulani ya screen ilikua hai respond kabisa yaani hii nilikua inanipa Shida nikifungua JF android app afu nkafungua Education forums sasa ile sehemu ya JF tech yaani ya pili kutoka juu ilikua hai respond na hiyo sehemu ni kwa vitu vyote ila shida kubwa nilikua naipata kwenye JF app...Ikanibidi nifanye factory reset bado tatizo likabaki pale pale
jana tatizo jingine likaibuka nikiwa na type na keyboard hazi respond kabisa kuna herufi mpaka uziminye mara kadhaa ndo inaandikwa nikafikiri labda ni protector nikaiondoa bado ikawa worse nimenunua nyingine leo protector shida pale pale

labda hapa nijiandalie tu kwenda samsung

kwa case yako inaonekana kama ni display. ila hao jamaa samsung wanapenda hela balaa nenda kagundue tatizo tu kulitengeneza fanya mwenyewe in case huna warranty. inawezekana pia ikawa ni touch tu imekufa wao watataka wabadilishe hadi kioo
 
njunwa wamavoko na Chief-Mkwawa, jana nimezunguka kwenye maduka ya mawakala wa Samsung sikuweza kupata Samsung Galaxy Tab S ya 8.4", jumamosi ijayo nitazunguka kwenye maduka mengine nione kama itapatikana. Nisipoipata itabidi nichukue Samsung Galaxy Tab 4 ya 7"
 
kaka kama umekosa tab s 8.4 basi tafuta tab pro 8.4

incase imeshindikana kabisa umekosa zote ndio nenda tab 4 7
 
Umeambiwa sh ngapi hizo ulizo zikutaaa

Lengo langu ilikuwa kununua Galaxy Tab S 8.4", hizo Galaxy Tab 4 7" bei zake niliona ziko kwenye Tshs. 580,000.00 hadi Tshs. 600,000.00
 
Nimefanakiwa kununua Samsung Galaxy Tab S 8.4".

Kwa siku 3 baada ya kuinunua sikuweza kuingia kwenye Play Store kwa kutumia Sim Card ya VodaCom pamoja na kusoma threads mbalimbali kwenye mitandao lakini haikunisaidia. Kutokana na maoni ya watu wengi kuhusiana na hii Tablet ni kwamba, inahitajika strong 3G ama LTE kuweza kuingia kwenye Play Store.

Kwenye mipangilio yangu, jumamosi ya siku ya jana nilinunua Portable Router ya WiFi kwa madhumuni ya kutumia kwenye Smartphone, Tablet na Laptop na watu wengine kama watahitaji. Nilipounganisha hiyo Tablet kwenye WiFi ndio nikafanikiwa kuingia kwenye Google Play Store.

Kwa kifupi nimetokea kuipenda na kuiona Smartphone niliyonayo kama nilikuwa sifurahii matumizi mbalimbali ya kwenye mitandao.

Shukrani kwa njunwa wamavoko na Chief-Mkwawa kwa ushauri mlionipa.

Screenshot_2014-11-16-15-28-06.jpg
 
Kitomoto umepata ipi kwa bei gan mkuu..?
 
Last edited by a moderator:
Nimefanakiwa kununua Samsung Galaxy Tab S 8.4".

Kwa siku 3 baada ya kuinunua sikuweza kuingia kwenye Play Store kwa kutumia Sim Card ya VodaCom pamoja na kusoma threads mbalimbali kwenye mitandao lakini haikunisaidia. Kutokana na maoni ya watu wengi kuhusiana na hii Tablet ni kwamba, inahitajika strong 3G ama LTE kuweza kuingia kwenye Play Store.

Kwenye mipangilio yangu, jumamosi ya siku ya jana nilinunua Portable Router ya WiFi kwa madhumuni ya kutumia kwenye Smartphone, Tablet na Laptop na watu wengine kama watahitaji. Nilipounganisha hiyo Tablet kwenye WiFi ndio nikafanikiwa kuingia kwenye Google Play Store.

Kwa kifupi nimetokea kuipenda na kuiona Smartphone niliyonayo kama nilikuwa sifurahii matumizi mbalimbali ya kwenye mitandao.

Shukrani kwa njunwa wamavoko na Chief-Mkwawa kwa ushauri mlionipa.

View attachment 202882

kaka hata hio voda unaweza tumia playstore ila voda wana katabia kachafu ka kutuma setting za internet ambazo sio sahihi.

bonyeza setting halafu more network halafu mobile network halafu access point name, hapo utaona setting za voda achana nazo.

utabonyeza button ya chini kushoto (ipo kama ngazi) then neno new apn litatokea libonyeze, itatokea page yenye kama fomu ya kujaza
connection name andika jf
apn andika internet

bonyeza back utaona kwenye setting za internet kumeongezeka jf, iactivate jf iwe ndio inayotumika kwa kubonyeza duara ambalo lipo mbele yake. hapo utakuwa umeset mtandao wako na internet.
 
Nimefanakiwa kununua Samsung Galaxy Tab S 8.4".

Kwa siku 3 baada ya kuinunua sikuweza kuingia kwenye Play Store kwa kutumia Sim Card ya VodaCom pamoja na kusoma threads mbalimbali kwenye mitandao lakini haikunisaidia. Kutokana na maoni ya watu wengi kuhusiana na hii Tablet ni kwamba, inahitajika strong 3G ama LTE kuweza kuingia kwenye Play Store.

Kwenye mipangilio yangu, jumamosi ya siku ya jana nilinunua Portable Router ya WiFi kwa madhumuni ya kutumia kwenye Smartphone, Tablet na Laptop na watu wengine kama watahitaji. Nilipounganisha hiyo Tablet kwenye WiFi ndio nikafanikiwa kuingia kwenye Google Play Store.

Kwa kifupi nimetokea kuipenda na kuiona Smartphone niliyonayo kama nilikuwa sifurahii matumizi mbalimbali ya kwenye mitandao.

Shukrani kwa njunwa wamavoko na Chief-Mkwawa kwa ushauri mlionipa.

View attachment 202882

Portable wifi router ya chni kabisa bei gan? na msaada matumiz yake ni mshamba kdogo hapo nlitaka kununua..
 
Back
Top Bottom