Nataka kununua Sony Xperia U au Sony Xperia P

Nataka kununua Sony Xperia U au Sony Xperia P

ndugufred

Senior Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
137
Reaction score
44
Kwa yeyote anayejua wapi hzi simu zinapatikana na bei yake aniambie.Au kama kuna mtu anauza hzo simu humu ndani anipm
 
Xperia U inapatikana kwa 300000 mpya dukani na xperia p inapatikana kwa 450000
 
jaribu kupita duka la sony pale mlimani city nimeona simu za ukweli za sony na tablet na products zingine za sony
 
Back
Top Bottom