Natumaini ni wazima wa afya.
Ninataka kununua smartphone inayotumia OS ya android. Naomba mnijuze ni ipi inapiga kazi vizuri ambayo nitapata good browsing experience. My budget ni 200,000 to 250,000/=