hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,805 Dec 20, 2013 #21 Excel said: Hivi kwa sasa kwa soko la bongo, bei za blackberries zikoje wadau? Click to expand... BB wamepost hasara kubwa sana kwa hiyo sidhani kama hizoo simu zina mashiko tena Over 4.4 bn US dollar loss kwa quarter ya tatu mwaka huu. Kazi kweli kweli
Excel said: Hivi kwa sasa kwa soko la bongo, bei za blackberries zikoje wadau? Click to expand... BB wamepost hasara kubwa sana kwa hiyo sidhani kama hizoo simu zina mashiko tena Over 4.4 bn US dollar loss kwa quarter ya tatu mwaka huu. Kazi kweli kweli
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,406 Dec 22, 2013 #22 Kwni blackberry bado kuna watu wanazitumia? Excel said: Hivi kwa sasa kwa soko la bongo, bei za blackberries zikoje wadau? Click to expand...
Kwni blackberry bado kuna watu wanazitumia? Excel said: Hivi kwa sasa kwa soko la bongo, bei za blackberries zikoje wadau? Click to expand...
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,449 Reaction score 17,918 Dec 22, 2013 #23 Jerrymsigwa said: Kwni blackberry bado kuna watu wanazitumia? Click to expand... wengi tu mbona wapo! tatizo mi nnalowazia ni kuhusu advancement yake katika techno.
Jerrymsigwa said: Kwni blackberry bado kuna watu wanazitumia? Click to expand... wengi tu mbona wapo! tatizo mi nnalowazia ni kuhusu advancement yake katika techno.
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,406 Dec 22, 2013 #24 Mkuu kuna mabara duniani hakuna hiyo kitu ya marekani, kalaga baho Excel said: wengi tu mbona wapo! tatizo mi nnalowazia ni kuhusu advancement yake katika techno. Click to expand...
Mkuu kuna mabara duniani hakuna hiyo kitu ya marekani, kalaga baho Excel said: wengi tu mbona wapo! tatizo mi nnalowazia ni kuhusu advancement yake katika techno. Click to expand...