Nataka kununua simu mpya, Ninunue ipi?

Nataka kununua simu mpya, Ninunue ipi?

nitazoea

Senior Member
Joined
Mar 15, 2017
Posts
198
Reaction score
241
Wadau nipo mbioni kununua simu mpya but napata wakati mgumu katika chaguo langu kati ya HTC M8 na LG G3 Ipi ni nzur!?ushaur wenu ni muhimu
 
Budget yako ipoje ndugu, je nilazima ununue moja kati hizo ulizotaja, unata simu mpya au used
 
weka na budget kabisa unaweza kushauriwa hata nje ya hizo.
 
Kizazi cha Samsung
S8 1.7mil
S8+ 1.9mil
144f7ba57e882be219037940d86bf6e7.jpg
 
Htc m8 ndo the best kwanza ipo juu kwa soko af ina double camera mwisho kabisa bado ipo on fire
 
Utakapopata pesa ndo urudi hapa!
 
Back
Top Bottom