Nataka kununua simu aina ya apple

Nataka kununua simu aina ya apple

ESPIRIT

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
665
Reaction score
524
Habari?. Je, hii ni aina nzur ya smartphone? Je zipo apple za aina tofauti? Nishauri ni ipi nzuri,na bei nafuu.
 
Habari?. Je, hii ni aina nzur ya smartphone? Je zipo apple za aina tofauti? Nishauri ni ipi nzuri,na bei nafuu.
Wataalamu wa mambo ya simu hawaingii sana kwenye jukwaa hili.Ungeipeleka thread yako jukwaa la tech gadgets and science ungepata msaada chap!
 
Habari?. Je, hii ni aina nzur ya smartphone? Je zipo apple za aina tofauti? Nishauri ni ipi nzuri,na bei nafuu.

Apple wanatengeneza simu aina ya iPhone tu, hawana simu nyingine. Kila mwaka wanatoa simu moja, iliyo latest sasa hivi ni iPhone 6, na kaka yake 6+ (zinafanana ispokuwa moja ina screen kubwa zaidi), oktoba watatoa nyingine iPhone 6s na 6s+. Apple hawatengenezi simu za bei rahisi na hawana mpango kabisa na vitu vya bei chini. Bei ya iPhone 6 mpya inaanzia 1.2M, iPhone 6+ inaanzia 1.4M.
 
Hivi sokoni hawashindwi na Samsung kwa simu zao?
 
Kama unataka iPhone hakikisha unanunua Kwa dealer bei zao hapa mjini zinatofauti ndogo sana, USHAURI WA BURE kanunue Na mtu anayejua iPhone Kama uzijui iwapo utaenda kununua mtaani maana iPhone fake ni fake Kweli Kweli yaani
Habari?. Je, hii ni aina nzur ya smartphone? Je zipo apple za aina tofauti? Nishauri ni ipi nzuri,na bei nafuu.
 
Kuuza as samsung general au flagship moja?
yeye aliongelea tu samsung in general. lakini hata kwa flagship nadhani samsung wanauza zaidi...sina data zenye uhakika lakini. mimi nilishazowea iphone siwezi samsung au androd yoyote
 
Habari?. Je, hii ni aina nzur ya smartphone? Je zipo apple za aina tofauti? Nishauri ni ipi nzuri,na bei nafuu.

Kwanza angalia matumizi yako utakayoyategemea, je unataka kuwa unalipia apps ndogondogo?, au unataka camera nzuri, au unataka free apps?, au unataka quality music sound?. Na bajeti yako nj kiasi gani?
 
Unajua iPhone ni silent promotion yaan inajiuza yenyewe tofauti na Samsung matangazo mengi lakini quality F
 
Haina lolote Samsung
Net chenga___,,, picha zingine chengaaa,,,,,,,,Hao wanajua gadgets tuuuu
 
Hakuna simu ambayo ni 100% perfect 👌 kwa kila kitu. iOS na Android ni tofauti moja kubwa sana itakayopelekea feature zisifanane, kuanzia kwenye usability hadi kwenye uhuru wa kuchagua applications na customization mbalimbali. Fetures nyingine ni pamoja na vitu kama removable batteries, dual sim option etc etc
 
Back
Top Bottom