Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,895
Huyu mpambania kombe tu mkuuBado pixel inanitatiza sana kuna mjadala uliibuka uko telegram kwamba Pxl tunazioverrate sana kwenye camera.....kati ya Pixel 5 na iphone Xs max....x max ilionekana ni bora zaidi kwenye picha kulko pixel 5,4 na 3 sasa nikuulize ni kweli tunazioverrate??
mzee nimetumia pixel 3,a,3AXL,nmetumia pixel4 mpka 5 but nakushauri tafuta kuanzia 5A ndo kidogo inakaa na charge ila hzo nyingine zote charge changamoto jpo kwa 5A jiandae 1m+.Nataka google pixel 3 xL au 3 a nimeona bei zake ni around 350K je ukiachana na camera hizi simu zinakaaje na chaji na je spars zake nirahisi kupatikana
nahitaji detail kuhusu hizi simu google pixel 3 a na 3 Xl je zinaitofauti wowote
@mondayishard
Si mbaya mkuu, go for it kama unahitaji simu za Pixel.nimeipata walmart wanasema ni used namtafuta Mwl rct aniagizie
Ubora wa nini? Pixel ni computational photography, same to iphone hazina hardware nzuri za camera ila zina compensate kwenye Ai na software kwa Ujumla.Bado pixel inanitatiza sana kuna mjadala uliibuka uko telegram kwamba Pxl tunazioverrate sana kwenye camera.....kati ya Pixel 5 na iphone Xs max....x max ilionekana ni bora zaidi kwenye picha kulko pixel 5,4 na 3 sasa nikuulize ni kweli tunazioverrate??
Mfano simu gani chief.Ubora wa nini? Pixel ni computational photography, same to iphone hazina hardware nzuri za camera ila zina compensate kwenye Ai na software kwa Ujumla.
Computational photography inatoa picha nzuri hasa kwa vitu ambavyo ipo optimized kama vile sura ya binadamu, ila kuna mazingira fulani zinazingua,
Kama unataka Camera kali kwenye situation zote unahitaji hardware nzuri, sensor kubwa, lens za camera nzuri, OIS etc.
Samsung Galaxy S21/s22 ultra, Xiaomi mi 11 ultra, Huawei P series hasa P40, bila Kusahau Hii Sony mpya xperia 1 III pro, vivo x seres kama X70 plus etc.Mfano simu gani chief.
cBado pixel inanitatiza sana kuna mjadala uliibuka uko telegram kwamba Pxl tunazioverrate sana kwenye camera.....kati ya Pixel 5 na iphone Xs max....x max ilionekana ni bora zaidi kwenye picha kulko pixel 5,4 na 3 sasa nikuulize ni kweli tunazioverrate??
assume ipo katika hali nzuri, si mbaya mkuu hio bei. mpya huipati chini ya 1m. kuwa makini tu mkuu na matapeli maana hata used ngumu kuipata hio be
Vipi kuhusu google pixel 4xl ukaaji wake wa chajiPia kama budget inaruhusu pixel 5A inakaa na chaji kupita maelezo (5a na sio 5) ni kati ya simu zinazokaa na chaji zaidi duniani.
Also consider oneplus pia ni alternative nzuri tu za Google pixel.
Uwezo mdogo,Vipi kuhusu google pixel 4xl ukaaji wake wa chaji
Sio laini 1 japo physical simcard ni 1 kweli ila kuna e-SIM unaweka mpaka mitandao 5.. hakikisha tu pixel unayotaka kununua ina support e-SIM. Kwa Pixel 3 na Pixel 3a family kuna baadhi hazisupport e-SIM ambazo ziko locked na baadhi ya carrier wa nje except Pixel 3a XL na zinazofata zote zina e-SIM.Nataka kununua pia ila laini 1 na betri nackia halitunzi chaji enewei ukipata detail nitag