Nataka kununua google pixel 3 xl au 3 a

Nataka kununua google pixel 3 xl au 3 a

Bado pixel inanitatiza sana kuna mjadala uliibuka uko telegram kwamba Pxl tunazioverrate sana kwenye camera.....kati ya Pixel 5 na iphone Xs max....x max ilionekana ni bora zaidi kwenye picha kulko pixel 5,4 na 3 sasa nikuulize ni kweli tunazioverrate??
Huyu mpambania kombe tu mkuu
 
Nataka google pixel 3 xL au 3 a nimeona bei zake ni around 350K je ukiachana na camera hizi simu zinakaaje na chaji na je spars zake nirahisi kupatikana

nahitaji detail kuhusu hizi simu google pixel 3 a na 3 Xl je zinaitofauti wowote

@mondayishard
mzee nimetumia pixel 3,a,3AXL,nmetumia pixel4 mpka 5 but nakushauri tafuta kuanzia 5A ndo kidogo inakaa na charge ila hzo nyingine zote charge changamoto jpo kwa 5A jiandae 1m+.

ukipata 2.5m agiza pixel 6 hyo ndo habari nyingine kwa camera
 
Bado pixel inanitatiza sana kuna mjadala uliibuka uko telegram kwamba Pxl tunazioverrate sana kwenye camera.....kati ya Pixel 5 na iphone Xs max....x max ilionekana ni bora zaidi kwenye picha kulko pixel 5,4 na 3 sasa nikuulize ni kweli tunazioverrate??
Ubora wa nini? Pixel ni computational photography, same to iphone hazina hardware nzuri za camera ila zina compensate kwenye Ai na software kwa Ujumla.

Computational photography inatoa picha nzuri hasa kwa vitu ambavyo ipo optimized kama vile sura ya binadamu, ila kuna mazingira fulani zinazingua,

Kama unataka Camera kali kwenye situation zote unahitaji hardware nzuri, sensor kubwa, lens za camera nzuri, OIS etc.
 
Mfano simu gani chief.
 
ninachofahamu pixel zina camera nzur, kwenye software wamejipndelea sana na pia simu zao zina storage ya kutosha, zinapatikana at affordable price kwa simu zao used. ambazo zinaendana na uhalisia wa ubora wa simu zao. kila simu ina ubora wake mahal fulan kushinda nyingne kwaio sio rahis kutoa majibu ya moja kwa moja ila kwenye camera pixel wamejipendelea

Bado pixel inanitatiza sana kuna mjadala uliibuka uko telegram kwamba Pxl tunazioverrate sana kwenye camera.....kati ya Pixel 5 na iphone Xs max....x max ilionekana ni bora zaidi kwenye picha kulko pixel 5,4 na 3 sasa nikuulize ni kweli tunazioverrate??
c
 
ya kwel kabisa pixel 5 uwez kuipata kwaio bei ata 4xl hapo unapata 4 plain used na kushuka chin. karibu 0763854611 watsup no. Tunazo pixel na vifaa vyake
assume ipo katika hali nzuri, si mbaya mkuu hio bei. mpya huipati chini ya 1m. kuwa makini tu mkuu na matapeli maana hata used ngumu kuipata hio be
 
GOOGLE PIXEL 3A XL 64 GB..
BRAND NEW FULL BOXED ..
OFFER PRICE 385,000 TSH
USED KWINGINE NDO UTAPATA KWA BEI HII ..
ZIPO CHACHE
ANDROID 12
0693225605

2 XL ZIPO PIA BRAND NEW 128 GB 340K TU FULL BOXED NA FREE CASE .... SINZA LEGO LOCATED
1899478354.jpg
 
Pia kama budget inaruhusu pixel 5A inakaa na chaji kupita maelezo (5a na sio 5) ni kati ya simu zinazokaa na chaji zaidi duniani.

Also consider oneplus pia ni alternative nzuri tu za Google pixel.
Vipi kuhusu google pixel 4xl ukaaji wake wa chaji
 
Nataka kununua pia ila laini 1 na betri nackia halitunzi chaji enewei ukipata detail nitag
Sio laini 1 japo physical simcard ni 1 kweli ila kuna e-SIM unaweka mpaka mitandao 5.. hakikisha tu pixel unayotaka kununua ina support e-SIM. Kwa Pixel 3 na Pixel 3a family kuna baadhi hazisupport e-SIM ambazo ziko locked na baadhi ya carrier wa nje except Pixel 3a XL na zinazofata zote zina e-SIM.

Screenshot_20240226-095003.png
 
Back
Top Bottom