Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 561
ngoja wajeNataka kununua pia ila laini 1 na betri nackia halitunzi chaji enewei ukipata detail nitag
Pixel 3 na 3xl ni flagship, zina perfomance kubwa ila hazikai na chaji.Nataka google pixel 3 xL au 3 a nimeona bei zake ni around 350K je ukiachana na camera hizi simu zinakaaje na chaji na je spars zake nirahisi kupatikana
nahitaji detail kuhusu hizi simu google pixel 3 a na 3 Xl je zinaitofauti wowote
@mondayishard
shukran oneplus inacheza kwe bei gan mkuuPia kama budget inaruhusu pixel 5A inakaa na chaji kupita maelezo (5a na sio 5) ni kati ya simu zinazokaa na chaji zaidi duniani.
Also consider oneplus pia ni alternative nzuri tu za Google pixel.
shukran sanaPixel 3 na 3xl ni flagship, zina perfomance kubwa ila hazikai na chaji.
Pixel 3A ni midrange na hasa Pixel 3A xl inakaa na chaji.
Kama priority ni camera na ukaaji chaji go with pixel 3A XL.
Kuhusu spea si rahisi kupata hapa tz ila online siku hizi unapata kirahisi siku 20 tu ama chini ya hapo.
Kama unaenda Route ya Refurbished ni around laki 3 hivi kwa oneplus 6T na hadi laki 5 kwa oneplus 7. Online. 6T ni equivalent ya pixel 3 na 7 ni equivalent ya pixel 4.shukran oneplus inacheza kwe bei gan mkuu
Samsung galaxy S9 plain ukaaji wa chaji ukojeKama unaenda Route ya Refurbished ni around laki 3 hivi kwa oneplus 6T na hadi laki 5 kwa oneplus 7. Online. 6T ni equivalent ya pixel 3 na 7 ni equivalent ya pixel 4.
Pia op 8 mara kwa mara inadrop hadi $250 mpya kama budget inaruhusu.
Haikai na chaji sana.Samsung galaxy S9 plain ukaaji wa chaji ukoje
3A XL Nimeona jiji wanaziuza 420K brand NewKama unaenda Route ya Refurbished ni around laki 3 hivi kwa oneplus 6T na hadi laki 5 kwa oneplus 7. Online. 6T ni equivalent ya pixel 3 na 7 ni equivalent ya pixel 4.
Pia op 8 mara kwa mara inadrop hadi $250 mpya kama budget inaruhusu.
Kamba tu, ni refurbished.3A XL Nimeona jiji wanaziuza 420K brand New
chief hata kama ni refubished je zinakuwa na quality ya camera kama mpya life span yake ipojeKamba tu, ni refurbished.
Camera ndio quality itakuwa ile ile. Unless imekuwa refurbished sababu ya kuharibika camera.chief hata kama ni refubished je zinakuwa na quality ya camera kama mpya life span yake ipoje
Pixel hazipo official Tanzania, na simu nyingi za Pixel ni kama Iphone bei ni Milioni na upuuzi even midrange kama pixel 5A inacost zaidi ya milioni 1.so kupata mpya kibongokibongo zinapatikana wap
asee nataka nichukue 3A AU 3A XL ipi ni nzuri na ukaaji mzuri wa chaji kati ya hiziPixel hazipo official Tanzania, na simu nyingi za Pixel ni kama Iphone bei ni Milioni na upuuzi even midrange kama pixel 5A inacost zaidi ya milioni 1.
3A xl inakaa zaidi na Chaji.asee nataka nichukue 3A AU 3A XL ipi ni nzuri na ukaaji mzuri wa chaji kati ya hizi