Nataka kununua gari

joshydama

JF-Expert Member
May 10, 2016
4,623
5,039
Habari zenu wana Jf Garage!
Wakuu nataka kununua gari hivyo naomba ushauri na maoni yenu wakuu. Ni vitu gani inabidi niviangalie na kuzingatia kabla ya kununua gari?
 
yes, cha pili, ungeangalia matumizi yako ya kila siku ya hilo gari.

cha tatu, umepanga budget gani utakua unatumia kwenye mafuta na service kwa mwezi aunkwa siku?

cha nne, ...
 
Cha tano unanunua gari kwa kufuata hela au unanunua gari kwa mahitaji?
Kuna maeneo ni mabonde kuporomoka utahitaji gari ya four wheel ili ikusaidie kupanda utelezi msimu wa masika
 
Naomba na mimi nitupie swali juu ya swali, ndg yangu ameagiza gari dogo kwa ajili ya kumtembelea, Ila katika negotiation pengine kutokujua ama kupunguza gharama - sijui gari limetumwa bila kuwa n a inspection certificates( JAAI). Alipomuuliza muuzaji anamwambia angalia invoice yako haina hiyo.
Swali, ili kutoa gari yake atafanyaje, gharama anasomea kuingia ni zipi. Asanteni
 
Back
Top Bottom