Wadau habari zenu..
Mimi ni mdada sijawahi kumiliki gari, ndo nataka kununua gari yangu ya kwanza
Nataka ninunue toyota IST old model.
Naombeni ushauri wenu.. ipi ni njia bora kuagiza nje au ninunue showroom za hapa bongo.
Na je, IST ya mwaka gani ndio bora zaidi. Na kampuni gani ni nzuri kuagiza gari?
Note: sitaki kununua gari za mkononi.