Nataka kununua eneo halijapimwa

suluta

Senior Member
Dec 22, 2016
115
40
Wadau habar.
Nipo katika mchakato wa kununua eneo linamilikiwa kimila (unsurveyed area) search natakiwa kuifanya wapi tofauti na village land registry? Msaada jaman
 
Tafuta wakili au mtu wa ardhi akusaidie. Usiogope gharama ardhi sio shati au nguo kuwa makini.
 
Wadau habar.
Nipo katika mchakato wa kununua eneo linamilikiwa kimila (unsurveyed area) search natakiwa kuifanya wapi tofauti na village land registry? Msaada jaman
Kwa VEO basi!. Hapo ndo utaunganishwa na m/kiti wa kitongoji wa eneo kiwanja kilipo.
 
Back
Top Bottom