Nataka kununua blender, watalaam nisaidieni

Nataka kununua blender, watalaam nisaidieni

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
3,849
Reaction score
3,066
Wakuu habari zenu

Hivi blender za juice imara zinazokaa muda bajeti yake isizidi elfu 45 ni za kampuni ipi na zinadumu muda mrefu?
 
Jipige pige ufikishe walau 80k upate kitu kizuri
 
ZAIBA ndio chaguo sahihi. Nilinunua Zanzibar 37k huu ni mwaka naelekea wa pili sasa.


Pia kuna Moulinex Ila hizi ni mkasi sana na sijui kama zipo. Mother alinunua 2006 Mpaka leo ip0 nzima kabisa, yanaharibika majagi tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom