Nataka kununu gari hapa bongo tz - suzuki grant vitara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kununu gari hapa bongo tz - suzuki grant vitara

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Raiamwematz, May 29, 2012.

 1. Raiamwematz

  Raiamwematz Senior Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Jamani naomba msaada kwa yule mwenye uzoefu na ununuzi wa magari kwenye yard hapa bongo. Ninataka kununua gari aina ya SUZUKI GRANT VITARA, je ni yard ipi wanauza? Na je ni zipi faida na hasara za kununulia gari kwenye yard za hapa bongo.
   
 2. Raiamwematz

  Raiamwematz Senior Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Jamani naombeni mnipe majibu hapa
   
 3. POLITIBURO

  POLITIBURO Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni vizuri kununua gari kwenye Yard hapa Bongo maana unaliona na utalikagua wewe mwenyewe na kujiridhisha kulingana na kiu yako. Mimi nikwambie ninalo gari aina ya SUZUKI ESCUDO milango 5 zuri tu nalitafutia mteja maana nna shida. Ukihitaji basi Ni pm au tuma email politiburo@yahoo.com tutaongea zaidi. Thanx
   
 4. chaUkucha

  chaUkucha JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 3,223
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180
  grant.......
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Grant vitara sijui kama inapatika bongo :evil:
   
 6. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Nahisi alikuwa na maana ya SUZUKI GRAND VITARA!
   
Loading...