Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,322
- 6,990
Duuh Hii kwa mimi siwezi, nimeamua kumuacha tuKuna njia moja rahisi sana na ndo nayoitumia kupunguza hii mifugo yangu ila inataka moyo kama una roho nyepesi tafuta njia mbadala. Tafuta gongo moja matata( la mti na sio kinywaji) afu subiri mbwa akilala mbamize moja la kichwa hapo atakufa fasta kwani mbwa ukimbamiza kichwani unakata network zote. Na hii ndo dawa ya wale mbwa koko au wenye vichaa.
Nawasilisha
Nilisha sitisha hilo zoezi kamandaJF bana; mpaka sasa inamaana hujamuua huyo mbwa wako mpaka members wa JF wakushauri kufanya hivyo?
MKUU KABADILIKA AU BADO UNAZINGUA?Jamani!! habari wandugu
baada ya kuona mbwa wangu kipindi hiki amepungua makali sasa nataka nimuondoe, naomba mnisaidie nimuwekee dawa(sumu) gani ili afe je? sumu ya panya inafaa nimeandaa nyama ya ng'ombe ili nimchanganyie kwenye chakula chake na hiyo sumu.
Wale wajuzi Wa mbwa nipeni namna nzuri View attachment 828470
Bado ila angalau sasa hiviMKUU KABADILIKA AU BADO UNAZINGUA?
Mpeleke kwa veterinary atachomwa sindano vya sumu
Mvumilie tu, akikushinda ni aheri umgawe kuliko kumuua.Bado ila angalau sasa hivi
Sawa!! Comrade bado nipo nae ngoja nimvulie tuMvumilie tu, akikushinda ni aheri umgawe kuliko kumuua.
wewe mkatiliAnasumbua na kibaya zaidi amekuwa kama hana ukali wowote, tangu afanyiwe figisu na wezi
Amna kamanda unamuambia ajirekebisheInavyoonekana hata mkeo akipunguza mautundu utamuacha wewe ππ
Usimuue mpeleke kwa sonata amchongee meno ya Silva yenye ncha kali kisha mpeleke kwa dakitari wake amuweke hayo meno.Jamani!! habari wandugu