Nataka Kumuona Mwanangu!

Nikikumbuka ile story yako ya HIV, ndio naelewa kumbe story inaweza kumteka mtu kiasi hicho. You're a very good story teller, mbunifu mzuri. I believe this to be fiction kiongozi, ila ni nzuri.
 
Ndg yangu kupitia simulizi yako nimegundua tulisoma wote pale kwa bwn mkubwa Samuel Mathias Teti aka Mswahili na bhana Masokolla....
 
daah [emoji144][emoji144] pole sana, ila wazazi muda mwingine huwa wanaona mbali ni basi tu huwa hatuwaelewi. Ila mimi mama yangu akiniambia mtu huyu sio, nitajitahidi tu upendo uishe maana huwa hakosei akikwambia hiki sio.
 
Damn it!!!
Mkuu Mentor pole sana kwa mkasa uliokukuta. Binafsi najaribu kujiweka kwenye viatu vyako lakini bado ni ngumu kuivumilia hasa baada ya kuspend pamoja muda mrefu ma uwazi mliokua nao kwa jamii.

By the way nafurahi kujua kwamba we studied the same school (Shule ya Sifa) kwa nyakati tofauti, japo wewe ulitangulia.
Mimi nilikua nakaa bweni la Simba mkuu.
 
Kutana na jirani yako kutoka bweni la Faru hapa mkuu....
 
Defu saana
 
Nimesoma stori hadi nikasahau kichwa cha habari, mwishoni nikaguduka kuona kichwa cha habari(NATAKA KUMUONA MWANANGU) jinsi ambavyo kimenisisimua mithili ya kububujikwa na machozi.

Pole sana, hivi ndivyo maisha yalivyo na kila mmoja wetu amebeba historia ya kiaina yake.
Ahsante kwa kunikumbusha sehemu nzuri 'Raskazone' miongoni mwa sehemu ambayo nimewahi kufika bila kutarajia.

Pia nikupongeze kwa kuikanyaga ardhi ya MUHAS ambayo imejaa mikimiki ya kila aina lakini uliweza kuimudu na hatimaye ukatimiza ndoto yako.
 
Duuuuh pole ila huku mwishoni kuna maneno umeyakatisha

Mengine nimewaachia wasomaji mmalizie mkuu..

Pole daktari msomi umri ungekuwa tunaendana ningekufariji

Ahahah asante kwa NIA...ubarikiwe!

Mentor 1998 form one? Sasa inabidi niwe mwangalifu humu, kumbe mimi naweza kuwa kwenye list ya vizee humu pamoja na mpenzi wangu FaizaFoxy

Shikamoo GIUSEPPE!

Pole sana mkuu!
Natamani kujua mwendelezo.Kuna wadada Mafia...yerrewiiiiii!

Kuna watu wanajua kutunza siri aisee...mimi siwezi hiyo makitu! But yeah...shida ni pale mtu anapoamini anaficha siri ili kukusaidia wewe!

Mentor Tanga school ulikaa bweni gani?, mimi nilikua Twiga jirani na mabweni ya mbuni

NYATI..


Dah nina kumbukumbu nyingi sana za Tanga...nzuri na mbaya...them good old days!

afadhali haikutokea kwangu kweli Mungu anaangalia sehemu pata kapo weza kuhimili. ingekuwa mimi ungekuta niko jela.
polee sana.

Hahah mngegawana majengo ya serikali sio mkuu!

Huwa najihisi mimi ni mpole sana, sipendi kabisa kubishana/malumbano hasa na mtoto wa kike.

Ila pia kwa kiasi alijifanya yeye ni victim yani alinificha ili kunilinda mimi nisiumie, alitaka kuwa na mimi na ananipenda sana. Unajua unamsikiliza mtu mpaka unaishia wewe kumuonea huruma maana kajiaminisha kabisa alichokifanya kilikuwa ni sahihi huku akisahau wakati analala na huyo jamaa hakubakwa hata...dah! tusikumbushane huko aisee.

Ndiyo maana sijamalizia hadithi...ningewa-confuse zaidi! vingine malizieni wenyewe wasomaji, mpendavyo!

Mwana mpotevu karudi

Kweli nyani haoni kundule!
 
Ndg yangu kupitia simulizi yako nimegundua tulisoma wote pale kwa bwn mkubwa Samuel Mathias Teti aka Mswahili na bhana Masokolla....


Ulishawahi kwenda kufagia manispaa wewe??! Dah ila Teti aliinyosha sana ile shule...!
 
Mentor nimeona tangazo lako la kutafuta mke, ushampata?
 
Is this real?!!!

Yaan nimeishiwa nguvu..please endelea utuambie ilikuaje baada ya wewe kusoma huo ujumbe?!.

Na ikawaje ukaachana na Huyo dada?

Vpi wazazi wako walilichukuliaje hilo?
Mkuu nahisi umedondosha machozi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…