dogo jacks
Member
- Jul 20, 2015
- 16
- 6
Waache wachukue tu
Duuh si unge mPM ndg, maana hapa hata wasio kuwa na nia watamtafuta
Nawazingua hao namba ya tren za kwenda kigoma
ahaaaa kwan kumpata wema uwa ni sheeda? Wewe nenda kwenye mabango anapowekaga pic zake hawezi kosa.
Afu wewe katoto una laana yaani unataka kula na baba zako? Hujui ni mbunge mtarajiwa??? Utapelepwetwa bureeeeeee
WEMA ni demu wangu, uwache ujinga
Huko radhi kuchangia kijitundu? Shauri yako, hujuwi sifa nzuri za wanawake wa Singinda nini?
teh teh teh...naskia anarambo mkuu
no ana mnato balaa
Dah....na mie kwenye contacts za Rihanna aniPMSamahani wanajamvi,
Kweli kweli nimetamani sana naomba kuunganishwa na Wema Sepetu natamani kumuoa. Nasikia amekosa mtoto mi najua nitafanyaje apate mtoto tena akipata hata mapacha. Mimi nina 29 yrs niko serious, Iam rich enough.
Please niunganisheni naye au yeye kama yuko hapa Jf anijibu.
Wema SepetuSamahani wanajamvi,
Kweli kweli nimetamani sana naomba kuunganishwa na Wema Sepetu natamani kumuoa. Nasikia amekosa mtoto mi najua nitafanyaje apate mtoto tena akipata hata mapacha. Mimi nina 29 yrs niko serious, Iam rich enough.
Please niunganisheni naye au yeye kama yuko hapa Jf anijibu.
HeheheheeHuko radhi kuchangia kijitundu? Shauri yako, hujuwi sifa nzuri za wanawake wa Singinda nini?
Huyu labda alikuwa anatania'Rich enough', what a move?! All the best, Playa.
Kick ya mguvutafuta kick ya nguvu kwanza uonekane hata kwenye gazeti..
Hahahahaha anataka kula na wakubwa huyooo