libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,474
- 3,631
Hata wew anaeza akakuchukua ukaenda kucheki uchi kwake!
Umeanza matusi ya reja reja
Hata wew anaeza akakuchukua ukaenda kucheki uchi kwake!
Hahahahaha,Asprin naona unatoa dozi.
Naona jamaa hata kujieleza kwa mtoto huyo hatoweza.
Mbaya zaidi amempeneda umaarufu,maana mitaani wapo tu kama Vanessa.Na kwa taarifa yake tu ni kwamba anajamaa tayari na jana alikuwanae kwenye kupokea Tuzo.Sasa wewe endelea Kumvutia kasi chooni kwa sabuni uongeze mende chooni.
Uko serious nikupe number yake? Ila you will be facing big challenges from well off people wanaommendea usiku na mchana.
Mimi jana sijaelewa...matiti yake yanateleza kiasi kwamba sidiria haikai inateleza....
utaweza mahari ya kipare????
Mjini hapa kuliza jero kupelekwa buku hutaki unaacha! sembuse kutoa number! Mjini hamna tena cha bure
Kwa faida ya ambao hatukuona, tafadhali, kuwa macho yetu: hapo unasemaaaa atiiii...????
Me nlichoona ilikuwa mida wote mkono hauchez mbali na sidiria,kila saa kuipandisha...