Nataka kumuoa Vanessa Mudeeh

Nataka kumuoa Vanessa Mudeeh

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
27,921
Reaction score
39,107
Aisee natamani kumuoa huyu mdada, maana daah ananipagawisha sana. Nijuzeni mawasiliano yake na taratibu za posa kwa kabila la Wapare. Nimejipanga na nina mvuto najua akiniona tu atanikubali
 
Aise huyu mtoto ni mkari mwenye mawasiliano yake anitumie 0715485691
 
hapa sio mahala pake. mambo ya ndoa yana taratibu zake,
 
mwenye namba ya ruby anirushie..nimempenda usiku wa leo tu..
 
Ila kwel mkuu,leo alivyotoka hata mimi nimetokea kumpenda.

Daah! Afu leo kawa mzr.
Kale kaShape Mashallaah
 
Hivi haka kademu nani anakagegeda siku za karibuni.
Nasikia kuna mp mmoja mzee anapumzika pale
 
...mapenzi ya kifacebook eti naomba namba yàke, nyamabafu waoaji hawako ivi ndorrrroooooobo wewe ......
 
Yule mdada kajifunza mpaka kushanag'aa in kithungu Tungu Jana walio angalia waliona ukijifunza kitu ukubwani na malezi ya utotoni yalikuwa tofauti na unacho onyesha sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom