Nataka kumuoa Magreth Kakoko

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
23,917
Reaction score
31,705
Wakuu huyu dada namuhusudu sana natamani siku moja awe mke wangu tuwe tunapika na kupakua chungu kimoja.

Sababu kuu ya kumpenda huyu dada ni kwa sababu anajipenda ,anajiheshimu pia ana uwezo mkubwa sana wa kiakili

Amekuwa akiingia kumi bora za wanafunzi bora kitaifa kama kumi bora za darasani kwao vile

Alipokuwa kidato cha pili alikuwa wa kwanza kitaifa,alipokuwa kidato cha nne amekuwa wa pili kitaifa ,pia alipokuwa kidato cha sita amekuwa wa kwanza kwenye kundi la wasichana wanaochukua masomo ya sayansi kitaifa akitokea mchepuo wa PCM na alipata daraja la kwanza point 4,na alipokuwa kidato cha nne alipata daraja la kwanza point 7


Nipo radhi kumuhonga hata nyumba ili nimpate, naimani ndoto yangu itatimia

Mzee Kakoko najua upo humu ,natamani niwe mkwe wako
 
Ungejua ataolewa na
Mwendesha mkokoten
Wala ucngehangaika

Nakushaur tu tupa
Karata kwa wema

Ila ucjarbu kwa jojo mwengelo
 
Hakuna linaloshindikana

Pambana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…