Nataka kumuoa huyu single mother

Mr Kactus

JF-Expert Member
Jan 7, 2021
510
2,944
Nimeshamfanyia visa vya kila aina ili anichoke lkn naona ameniganda tu. Haniombi ela na hana usumbufu wa kijinga, ananipa uhuru ninaoutaka.

Anajiheshimu na ananiheshimu na kwenye uwanja wa futi sita yuko vizuri ile mbaya, anajua kuifinyia kwa ndani

Nina miaka miwili naishi nae lkn sijawahi kwenda hata kujitambulisha kwao. Tulianza maisha ya kulala ktk kigetto tu chenye kagodoro tunatandika chini mpaka sasa tumepanga upande mzima wa mjengo na kuna kiwanja amenihimiza nikinunue tuanze ujenzi..

Kasoro pekee ni single mother, mtoto wake yupo analelewa na bibi wa upande wa baba. Msela aliyemzalisha hana mishe ya kueleweka anapiga debe stendi, ni dizaini ya wale wana wanaovaa majinzi ya kuchanika chanika na kunyoa viduku. Anadai walishaachana..

Wazoefu mliooa single mothers njooni mnipe muongozo..
 
Nje ya mada: Hilo jina lako limenifanya nicheke kwa nguvu sana nikakumbuka ile video😂😂😂😂
 
Nimeshamfanyia visa vya kila aina ili anichoke lkn naona ameniganda tu. Haniombi ela na hana usumbufu wa kijinga, ananipa uhuru ninaoutaka.

Anajiheshimu na ananiheshimu na kwenye uwanja wa futi sita yuko vizuri ile mbaya, anajua kuifinyia kwa ndani

Nina miaka miwili naishi nae lkn sijawahi kwenda hata kujitambulisha kwao. Tulianza maisha ya kulala ktk kigetto tu chenye kagodoro tunatandika chini mpaka sasa tumepanga upande mzima wa mjengo na kuna kiwanja amenihimiza nikinunue tuanze ujenzi..

Kasoro pekee ni single mother, mtoto wake yupo analelewa na bibi wa upande wa baba. Msela aliyemzalisha hana mishe ya kueleweka anapiga debe stendi, ni dizaini ya wale wana wanaovaa majinzi ya kuchanika chanika na kunyoa viduku. Anadai walishaachana..

Wazoefu mliooa single mothers njooni mnipe muongozo..

Nilishawahi kusema humu, na narudia:

Baadhi ya single mothers ni wasichana waliofanya makosa wangali wadogo, wakajikuta wamebeba mimba. Wengi wao utakuta pengine ilikua mara yao ya kwanza ku sex, pengine walidanganywa au hata kushikwa kwa nguvu wakajikuta wameshaachia mzigo na kitu kikanasa.

Kutokana na ugeni wao, wengi huogopa kutoa hizo mimba na kuvumilia kebehi, vipigo, vitisho nk kutoka kwa wazazi.

Kuna mabinti ambao leo hii sio ma singo maza kwasababu tu kila mimba inaponasa wanaichoropoa fasta, au wameshameza P2 ndoo mbili!
 
Back
Top Bottom