Nataka kumtoa Wassira ubunge wa Bunda

celincolyn

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
243
0
Kiukweli natangaza nia kuanzia leo kuwa nataka kugombea ubunge jimbo la Bunda kwa sababu.........
1. Jimbo liko wazi muda mrefu bila mwakilishi....mwenyewe kazi kulala bungeni tu.
2. Bunda hakuna maji ya bomba ilihali kutoka Bunda mjini hadi ziwani ni kama Km 10 tu.
3. Wassira hana mawasiliano mazuri na wapiga kura wake na hasa wa Bunda mjini.
4. Sijui Wasira anachokisimamia kwa kweli maana issue zote za ufisadi zilizopata kutokea nchi hii hakuwahi kufungua mdogo japo kukemea au kuonya tu huyu mbunge n.k. Waungwana wa Bunda ongozeni mengine juu ya huyu kihiyo wetu eti mbunge.
 

Hebie

JF-Expert Member
Jul 29, 2012
1,347
2,000
5. Ni mwasisi wa udini. nilishuhudia kwa macho na masikio yalipata kumskia wasira akisema mkutanoni jangwani DSM
(CDM ni chama cha kikristo) hakujua kusema hayo ni kufanya tuchukiane wakristo na waislam
 

KISHINDO

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
1,751
2,000
Mi ni wa Bunda. Sema haraka we ni nani, utasaidiaje wilaya ya Bunda ambayo ni ya pili kwa umaskini toka mwisho.
Tueleze strategies zako na mipango yako ya kufanya watu tusafiri toka Dar to Bunda kwa ajili ya kukupigia kura. Kikubwa usiwe chama cha mapembafffff.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom