celincolyn
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 243
- 43
Kiukweli natangaza nia kuanzia leo kuwa nataka kugombea ubunge jimbo la Bunda kwa sababu.........
1. Jimbo liko wazi muda mrefu bila mwakilishi....mwenyewe kazi kulala bungeni tu.
2. Bunda hakuna maji ya bomba ilihali kutoka Bunda mjini hadi ziwani ni kama Km 10 tu.
3. Wassira hana mawasiliano mazuri na wapiga kura wake na hasa wa Bunda mjini.
4. Sijui Wasira anachokisimamia kwa kweli maana issue zote za ufisadi zilizopata kutokea nchi hii hakuwahi kufungua mdogo japo kukemea au kuonya tu huyu mbunge n.k. Waungwana wa Bunda ongozeni mengine juu ya huyu kihiyo wetu eti mbunge.