Ha ha ha ha wengi mmepaniki nadhani ni kutokana na frustration za kuwa na wanawwke wasiowaletea mabadiliko chanya, lakini pia unaweza kukuta mijitu mingi humu iliyopaniki imeoa wanawake ambao ni magolikipa hivyo linapokuja suala la kumdai mke fidia kutokana na makosa ya kisheria basi anaona vitu vya ajabu sana maana hata mke wake anaomba hadi pesa ya kununua sindano,
My take: usikubali kuoa mke mjinga mjinga tu asiuejua kutafuta maana mwishowe ni kupata paniki tu kama hizi kwenye thread hii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.