Nataka kumshitaki ocampo wa icc......! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kumshitaki ocampo wa icc......!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by TUJITEGEMEE, Oct 28, 2011.

 1. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,776
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Nataka kumshtaki OCAMPO kwa sababu zifuatazo:


  Mauaji Iraq: Kwa nini mpaka leo hajawachukulia hatua watuhumiwa wa mauaji (West empires) ya (h)alaiki huko Iraq wakati wa kumg'oa madarakani Saddam kwa ushahidi wa uwongo wa Tume ya Nyuklia? mfano watu (wengi wakiwa wanawake na watoto) zaidi ya mia tano waliuwawa kwa mabomu ya WEST siku moja wakiwa wamejificha kwenye andaki jijini Baghdad.

  Kasababisha mauji ya (h)alaiki hukoAfrika ya Libya: Kapeleka ushahidi wa uwongo Balaza la UN na kusababisha NATO kutumia ushahidi huo kufanya mauaji ya kutisha Tripol, Ban Walid, Sirte, Ghadame na kwingineko kwa msaada wa wahuni wa bengharz.

  Ameweka mtego wa kusababisha mauaji mengine Sudan(Kaskazini) kwa kutoa waranti ya kumkamata Bashir...

  Haya ni kwa uchache tu ....

  Wanasheria wa JF ninaweza kufanikiwa katika shauri hili ili atiwe nguvuni Ocampo?
   
 2. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,776
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Ni matumaini yangu kuwa bado mnapitia makabl/rasha ya sheria ili mje na vigezo vitakavyo niwezesha kumudu shauri hili! Mchana mwema.
   
Loading...