Nataka kumsaliti mume wangu

Vumilia... Maybe kuna vitu anavimiss ndo mana haangaiki na wew. Au umepoteza mvuto wa kimapenzi
 
huyo babu uwezo wake ndio umeishia hapo lakini huenda ana jini mahaba mimi pia mke wangu huwa anakaa miezi mitatu au minne hataki kuguswa nikamwambia mchungaji akasema ni jini mahaba nimeamua kumwchia mungu apa nina miezi sita mwanamke anasema hajisikii sasa nitafanyaje nendeni kanisani u msikitini kwa mujibu w imani zenu,miaka 49 bado sana hapa mjini sio kwamba anafanya makusudi
 
Huyu naona ana hamu ya kupigwa kabang we toka nje ya ndoa ukija kushtuka tayari ashakatwa mtu..........chezea vijana wa mujini!!!!!!!!!!!1
 
sijui hata nikwambiaje!
tabu watu wa mjini mkiambiwa kuwa tatizo lako lipo kiroho zaidi tunaonekana washamba na kwenda kwenye maombi utashusha pr hivyo endelea tu kutumikia mizimu kwa kuwa kiuhalisia huyo sio mume wako na wewe sio mke wake toka mwanzo wote wezi kwahiyo ndoa hiyo itaendelea kwa kadri wenye ndoa wanaona inafaa.
kazi kwako kuendelea au kubaki katika mazingira hayo kwa kuwa hata ukiolewa na mtu mwingine hili tatizo utakuwa nalo kwakuwa unalipenda.
jitahidi utoke kwa maombi vinginevyo ni mateso mwanzo mwisho
 
Kwa haraka haraka,wewe siyo mrembo kama ulivyosema,ungekuwa mrembo kivile mumewe asingekuwa busy room anakodolea macho warembo wa TV. Pili umebweka sana,nakushangaa shosti unasubiri mumewe akuombe mambo? Akirudi nyumbani mchangamshe,uwe nadhifu n.k,
 
Hehehe,hivi ni 26 vs 49,Klynn na bwn.Machache inakuwajeeeee.......ama kweli,
we dada kweli ulikosa wanaume walau kwenye 30's hivi??? And si uolewe sasa,hujui mkitimuana haki huna hapo,
unaonekana nia ya kucheat tyr unayo,unataka ku'rationalize tu maamuzi yako mbele ya jamii,
 

Kama unakaa zaidi ya mwezi bila kupata starehe stahiki ya mapenzi kwa umri wako huo kwa kweli ni ngumu kushauriwa usitoke nje ya ndoa(JAMANI NGONO TAMU TUACHE UBISHI). Lakini swala la kujiuliza ni hili hapa ratio ya umri wenu 26:49 inatisha sana kwa maana ya mmoja huishiwa hamu ya kungonoka mapema zaidi kuliko mwingine as time goes on, hivyo from the beginning ulipaswa kuangalia mambo kama haya. Kwa sasa inakubidi uwe responsible kwa makosa yako wewe na wala usimfanye mume wako awe responsible kwa makosa yako wewe, maana yeye aliku approach na ukakubali kuolewa naye bila kujali facts za kingono!

Upande wa pili ni kuwa yakupasa ufanye juu chini kung'amua kwa nn mume wako kwa sasa hawezi kuperform kama zamani, ukibaini sababu basi hapo ndio pa kuanzia ili ufurahie ndoa yako!

NB:
Kama ukiamua kutoka nje ya ndoa yako jiulize kwanza haya maswali
1.Utatoka nje ya ndoa hadi lini? kwa maana ya lini mume wako atarejea kwenye form kama ilivyokuwa mwanzo
2.Analyze kwa umakini na kwa uwazi madhara yote yatokanayo na kutoka nje ya ndoa, then jipime na uamue sasa!

KABLA YA KUKOSEA HUTAJUA KAMA UMEKOSEA, ILA UTAJUA KUWA UMEKOSEA BAADA YA KUJUA KUWA UMEKOSEA!
 
Loh umri duh! Pole kipenzi mkubalie kijana mwenzio ... una mtoto?
 

Mh..pole mdogo wangu..kwanini unakimbilia kutoka nje.ni ngono tu au kuna jingine?kwanini usitulie?watu wanaishi na mtu amgusi ata 2month lakini anakaa tu wewe bado mdogo sana utakuja kujiua na haya magonjwa...na kumbuka kama msichana ukianza kucheat roho itakuwa inakusuta na siku huyo bwana akikukamata mpenzi. Utajutia uamuzi wako.kila la kheri
 
Kwa haraka haraka,wewe siyo mrembo kama ulivyosema,ungekuwa mrembo kivile mumewe asingekuwa busy room anakodolea macho warembo wa TV. Pili umebweka sana,nakushangaa shosti unasubiri mumewe akuombe mambo? Akirudi nyumbani mchangamshe,uwe nadhifu n.k,

Kitchen party mwambie avaeje anasubiria kuombwa loh
 

Hapo yenyewe anafanya dhambi ajaolewa rasmi kaamia tu kwa mwanaume laikini haijaalalishwa akubalie kijana tu aendelee fanya dhambi zaidi
 

Loh yawezekana jini mahaba ni mtu kama wewe kakuchoka
 
Hapo yenyewe anafanya dhambi ajaolewa rasmi kaamia tu kwa mwanaume laikini haijaalalishwa akubalie kijana tu aendelee fanya dhambi zaidi

Huyu atakuwa najamaa yake wa tangu enzi hizo wakiwa shule sasa kwakuwa natunzwa na mtu wa umri wa makamo anajifanya tumshaauri, aamue mwenyewe dhambi ni za kwake kwanini atafute mshauri mshirika?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…